Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Samahani ndgu, naomba kufahamu hivi mfano mtumishi akifanyiwa vetting ni lazima kuteuliwa? Au anawezafanyiwa vetting na bado asiteuliwe wala kupewa nafasi mpya ya kazi/utumishi? Naomba kufahamuVetting ilitumika kadi ya UVCCM na ndio ilikuwa na nguvu,Leo vyeti vya taaluma,uzoefu je?
nchi vituko sana hii. maana yake hawakufanya vetting
Wacha wivu. Kama ni kukurupuka tu mbona askofubagonza hajateuliwa si ana PhD ya mormons? Ae wewe, mbona hukubahatisha?Siku hizi ni tofauti.. Kwanza uteuzi kisha ndio vetting .. Usishangae baada ya wiki wengine wakatenguliwa
Hapo sasa!Mazingira ya kumwajiri mwalimu na mkurugenzi ni vitu viwili tofauti.
Mwalimu anatuma maombi kwa njia ya mtandao ndio maana wakati wa kuripoti hutakiwa kwenda na nyaraka zake ili zihakikiwe kama ni feki au OG
Lakini uteuzi wa wakurugenzi unafanywa under intensive vetting including kutuma cv na vyeti kwa mamlaka ya uteuzi kwaajili ya mapitio n.k
Sasa imeendaje hawa watu ambao wanafanyiwa vetting before kuteuliwa waambiwe wakaripoti tena na vyeti ambavyo tayari walishatuma?
Hv Ded aliyekuwepo wa Chalinze vp ,m nilikuwa namuona jembe alafu nashangaa simuoni.Siku hizi ni tofauti.. Kwanza uteuzi kisha ndio vetting .. Usishangae baada ya wiki wengine wakatenguliwa
Ficha upumbavu wako.Mbona hata ukipata ajira ya ualimu ni lazima unapoenda kuripoti lazima uende na vyeti sasa unashangaa nn wakurugenzi kwenda na cv
Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
Mpaka nimeona aibu mimi.Ina maana waliteuliwa bila kufanyiwa vetting?
View attachment 1878462
First appointment unakuwa DED? nimeona vibinti vibichi kabisa inawezekana ni first appointment from uvccm...Mkuu inaonyesha hivyo, na pia inaelekea ni first appointment.
Utajua hujui?Sasa mara paap huna NIDA
Wasisahau kwenda na check number zaoIna maana waliteuliwa bila kufanyiwa vetting?
View attachment 1878462
Kama ilivyokuwa kabla kadi ya dini ya Kikristo na Usukuma.na Kadi ya dini ya kiislam.
Ndio mjue tunapomkosoa huyu mama yenu hatukosoi kwa bahati mbaya bali tunamaanisha dhahiri kwamba uwezo wake wa kuongoza nchi ni mdogo
Ata Katibu Mkuu kiongozi aliteuliwa akiwa Airport na Rais alisema alikuwa hamjui😂😂Dada yangu (si mama kwangu), Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema "Rais huwa hakosei". Kwa usemi huo tu tayari alikuwa kakosea maana hakuna mtu asiyekosea, hayupo na hatakuwepo!
Ndio maana unahitajika upitiaji makini (keen vetting) katika kusoma, kuchambua na kuamua kabla ya kutandika mkeka wowote ule hadharani. Atakuja kuteua aliyekufa au mfungwa!
Sasa ona ambavyo kila uteuzi analazimika kurudiarudia na kurekebisha, hususan baada ya kukosa kutangulia uhakiki makini. Hata bunge la bajeti alilikosea mara kadhaa kwa kuliita bunge la katiba. Akasema: "sijui nina maradhi gani na katiba." Ni maradhi ya kukosea mara kwa mara kwa kukosa umakini!
Si maradhi ya katiba tu, bali hata maradhi ya wizara (mathalani kateua waziri wa tozo kandamizi badala ya waziri wa uchumi na mipango endelevu na yenye tija), maradhi ya mikoa, maradhi ya wilaya na sasa maradhi ya wakurugenzi wa halmashauri. Mkurugenzi mmoja anataka aongoze halmashauri mbili kwa wakati mmoja. Mara paap, kajikuta kakosea tena!
Je, atawezaje (au wasaidizi wake), kusoma na kuchambua kwa makini mikataba mikubwa yenye kurasa zaidi ya 800??!!
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app