Wakuu acheni michepuko

Wakuu acheni michepuko

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Mwanaume sikia hii uwe mume bora

Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee

Mithali 31 :3

Usiwape wanawake nguvu zako :

Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu. Mwanzo 2:18 - 25

Samsoni alikuwa na nguvu nyingi lakini kwa kuwa alipenda makahaba akamvaa derila kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za samsoni.

Waamuzi 16:1

Samsoni akaenda gaza akaona huko mwanamke kahaba akaingia kwake.

Waamuzi 16:6

Derila akamwambia samsoni tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.

Samsoni kwa kubembelezwa na derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae wafilisti waliomtuma derila wakamuua samsoni waamuzi 16:15-23

Nini unajifunza hapo mke wako ndio anatakiwa apate nguvu zako hao wanawake wazuri unaowaona sasa wapo kazini wametumwa na shetani

Kaka zangu na baba zangu. Mke wako ni mzuri sanaa na ndio mana ulimuoa acha zambi itakuuwa shetani yupo kazini anatumia warembo. Mbona kabla ujaoa ujakuwa hivyo? Tafakari sanaa mungu akukomboe kupitia andiko hili

Mithali 18 :22

Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa bwana.

Muulize anaye mpenda mke wake kweli na asiye chepuka akuonyeshe mafanikio yao ndio utaamini kuwa neno la mungu ndio usalama wako ubarikiwe sanaa kaka na baba

Screenshot_20220507-233145_Facebook.jpg
 
Bikra zenyewe hamna then mnataka kuolewa ndoa ya mke mmoja mkafie Mbali yaani mdanga weee dk 80 mnakuja na mistari ya bibilia wakati hata kanisani hamuendi.
🤣🤣🤣🤣🤣Anae stahili mwanaume asie mchepukaji ni mwanamke bikra tuu. Wee kama wajijia breki mbupu endelea kushare tuu maana ndicho unacho kipenda toka mwanzo
 
1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.

2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.

3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.

4. Unamzungumziaje YAKOBO

5. .......

Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
 
MWANAUME SIKIA HII UWE MUME BORA
MWANAUME NGUVU ZAKO NI KWA AJILI YA MKE MMOJA SIYO WANAWAKE WOTEE 👇

MITHALI 31 :3
USIWAPE WANAWAKE NGUVU ZAKO :

MUNGU alimpa Mwanaume Mke huyu mmoja kwenye bustani ya EDENI. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina Amani ameletwa na shetani kushindana na Mungu. MWANZO 2:18 - 25

SAMSONI alikuwa na NGUVU nyingi lakini kwa kuwa alipenda MAKAHABA akamvaa DERILA kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za SAMSONI.
WAAMUZI 16:1
SAMSONI akaenda Gaza akaona huko mwanamke KAHABA akaingia kwake.

WAAMUZI 16:6
DERILA akamwambia SAMSONI Tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.
SAMSONI kwa kubembelezwa na Derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae Wafilisti waliomtuma Derila wakamuua SAMSONI Waamuzi 16:15-23

NINI UNAJIFUNZA HAPO 👆MKE WAKO NDIO ANATAKIWA APATE NGUVU ZAKO HAO WANAWAKE WAZURI UNAOWAONA SASA WAPO KAZINI WAMETUMWA NA SHETANI

KAKA ZANGU NA BABA ZANGU. MKE WAKO NI MZURI SANAA NA NDIO MANA ULIMUOA ACHA ZAMBI ITAKUUWA SHETANI YUPO KAZINI ANATUMIA WAREMBO. MBONA KABLA UJAOA UJAKUWA HIVYO? TAFAKARI SANAA MUNGU AKUKOMBOE KUPITIA ANDIKO HILI 👇

MITHALI 18 :22
APATAYE MKE APATA KITU CHEMA NAYE AJIPATIA KIBALI KWA BWANA.
MUULIZE ANAYE MPENDA MKE WAKE KWELI NA ASIYE CHEPUKA AKUONYESHE MAFANIKIO YAO NDIO UTAAMINI KUWA NENO LA MUNGU NDIO USALAMA WAKO UBARIKIWE SANAA KAKA NA BABA ✋

View attachment 2234655
hupendi tu tupate raha.
 
1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.

2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.

3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.

4. Unamzungumziaje YAKOBO

5. .......

Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
sulemani alitisha
 
Back
Top Bottom