Wakuu acheni michepuko

Halafu ngoja niwaambie kitu mtanisamehe watu humu seriously.
Wanaume wengi wametumika hadi siku mko chibis ukishika ile kitu huoni unaitafuta hamna hata yale mambo yao yamelegea viapple vimesinyaa vidogoo hadi basi .
Halafu kingine pia hawezi mambo kachokeana anakimbilia konyagi wai acheni uboya nyie mnajiona tu hata midomo imechakaa kama plastick.

Hamuwezi hata kumpa dada mimba mnamuwekea mdada hospitali hizo mbegu wala kitu chochote .
Mmechoshwa mpaka viinshu vimelambwa na wadada hadi vimesinyaa na nyie waja kupiga kelele huku wewee tulia tuli .
 

Kitulize bidada,,, inaonekana unakutana na vitoto kila wakati... hayo makasiriko ni nyeGe hizo.... hao watoto hawazitoi vizuri...
 
[emoji90][emoji90][emoji90] eti mwanamke mmoja, unahubiri au unaelezea dhehebu lako. Vitu vingine sio vya kuleta kwenye mitandao kama hii, peleka fb huko. Pambana na huyo wako wacha sisi tufurahie maisha na watoto huku
 
Msemee huyo wako ambae ana piga moja na kulala. Sawa wengine route ndefu. Wewe mwenyewe hapo ushabalaguzwa mpaka imeota sugu aka bwawa nani aoe na kujiwekea limit eti unatosha. Kaisome biblia vzr usisome maneno kadhaa. Biblia ilishasemaga mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake yeye mwenyewe kwa mikono yake. Na pia biblia hiyo hiyo imetukataza kuoa au kuweka malengo na makahaba/wadangaji. Sasa sijui unaisemea biblia mpya au?. Inshort and clear bible imetukataza kuoa mwanamke muasherati yaani mwanamke malaya malaya big NO
 
Kwani Dellilah alikua mchepuko wa Samson?
 
Ifike tu point wanawake mkubali nature wa mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Hata hapo kwa jirani yako huoni Jogoo mmoja mitetea Kibao. Kaangalie hata channel za Wanyama utakuta dume mmoja linamiliki kundi la majike. It's nature madam usiumize kichwa saaaaana
 
Pastor, umeeleweka vizuri.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Depal njoo nikupe nguvu zangu...
 
Unamzungumzia delila aliyeimbwa na kasim mganga au Kuna mwingine ajaye😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…