Wakuu acheni michepuko

Wakuu acheni michepuko

Sijatendwa humu nani wakunitenda nini kipya hakuna shida ni mtu ni mshenzi anajibiwa kiushenzi inategemea mtu anavyokuja
Daaah hata kama [emoji3][emoji3][emoji3] tatizo hasira ni kama zimelalia upande fulani majibu yanafanana fanana ! Ni kama unatema nyongo !! Ila hii mbinu inasaidia pia
 
ivi kiswahili cha huyu binti mnakielewa? ebu tulia uandike vizuri ueleweke

pia nakushauri uwaone wataalamu wa afya ya akili upate tiba mapema
 
Bikra zenyewe hamna then mnataka kuolewa ndoa ya mke mmoja mkafie Mbali yaani mdanga weee dk 80 mnakuja na mistari ya bibilia wakati hata kanisani hamuendi.
Wewe ndio utakufa na kizazi chako cha tatu na cha nne .
 
ivi kiswahili cha huyu binti mnakielewa? ebu tulia uandike vizuri ueleweke

pia nakushauri uwaone wataalamu wa afya ya akili upate tiba mapema
Wewe ndio ukamuone sio wa akili wa mapepo na majini akutoe huo umalaya sugu ulionao.
Utulie kwa mkeo
 
ndio mkuu mbona watu tunajua kitambo
Kuna wenzako walijifanya wananijua humu nikawapasukia ukweli wao kimya sikia wewe pimbi kesho nitakuambia kitu ambacho dunia nawote wakaao ndani yake watastaajabu nikisema .
Mi najua ulifanyaga nini tena ulikuwa na msichana wawatu mnasafiri .

Mara pah nimalizie hivi baada ya kushindwa kupumua ulimpeleka wapi??
 
Ushauri huu kaa nao mwenyewe,ni wa ovyo sana kwa mwanaume wa kiafrika
Nalog off Z
 
Kuna wenzako walijifanya wananijua humu nikawapasukia ukweli wao kimya sikia wewe pimbi kesho nitakuambia kitu ambacho dunia nawote wakaao ndani yake watastaajabu nikisema .
Mi najua ulifanyaga nini tena ulikuwa na msichana wawatu mnasafiri .

Mara pah nimalizie hivi baada ya kushindwa kupumua ulimpeleka wapi??
[emoji2][emoji2] kweli hapa akili hazichaji kama ile id yako nyengine

Siokotagi wanawake nikisafiri sasa sijui hii Ramli ni ya nchi gani katoto kazuri
 
ivi kiswahili cha huyu binti mnakielewa? ebu tulia uandike vizuri ueleweke

pia nakushauri uwaone wataalamu wa afya ya akili upate tiba mapema
Iangalie na id ya katoto kazuri anavyoandika yani ni huyu huyu kiswahili chake kile kile

Mpaka tulikuwa tunadhani huyu binti ni mkenya maana haeleweki anaandika nini
 
K
[emoji2][emoji2] kweli hapa akili hazichaji kama ile id yako nyengine

Siokotagi wanawake nikisafiri sasa sijui hii Ramli ni ya nchi gani katoto kazuri
Katoto kazuri??
Who is thT??
Haujakutana naye safarini.
Mmlikuwa mmetoka naye huko kwako ulimwambia nisindikize mahali .
Umeelewa . Akatoka huko bila kuaga alikiwa kavaa nguo nyeupe na alikuwa mzuri sana kaumbika mrefu .
Ila kusafiri kwa sana akakosa pumzi badala ya kumsaidia kumpa huduma ya kwanza ulikuwa unamuangalia .
Wewe niendelee au niache gari ilikuwa kubwa nyeusi . Ila uliogopa nakufanyaje
Mwambie aseme ukweli. Umeambiwa useme ukweli .
Unateseka na huna uhuru kuwa huru ila ni ndugu wa rafiki kipenzi mwambie ataelewa .
Usifiche na umeshaoa
 
Ndiyo maana wajane wengi sana, waume zao wanatumika sana nguvu zinaisha mapema kuliko wake zao.
 
Bikra zenyewe hamna then mnataka kuolewa ndoa ya mke mmoja mkafie Mbali yaani mdanga weee dk 80 mnakuja na mistari ya bibilia wakati hata kanisani hamuendi.
Na nguvu zenyewe za kiume muwe nazo za kutolea bikira, huko kwenyewe kwenye michepuko ni aibu tupu zinatoka wenyewe wanasema pale nafuata pesa tu shughuli yenyewe anaweza basi nampa pole mkewe[emoji23] kazi yake kuniga mkanda tu
 
Mie biblia mnajishaua kisa wanawake wameshatoa sana kwenu bikra zote hakuna ndio maana munatudharau sasa mtukome sio wote na hatutaki mijadala ya kiboya hapa mbona nyie hamuna hayo madudu yenu yamepauka na kulegea kama milenda ya kiboya .

Halafu kingine siku hizi mkiweza hata round 1 labda mumekunywa viagra imeandikwa 5x
Lolote hakuna hapo unajishaua tu
Wake zao wenyewe wanaponea kwa vijana, wanafichiwa aibu, hivi wake zao wakiyaongea mautopolo yao huko ndani si tutazika wengi? Sema wanawake wanatunza siri sana. Hiyo round 1 sekunde 3-8 wazamani.
 
Na nguvu zenyewe za kiume muwe nazo za kutolea bikira, huko kwenyewe kwenye michepuko ni aibu tupu zinatoka wenyewe wanasema pale nafuata pesa tu shughuli yenyewe anaweza basi nampa pole mkewe[emoji23] kazi yake kuniga mkanda tu
Kweli kabisaa wamenipa madongo oh mimi ni malaya sijui nini na huku tunaambiwa hivyoo hawawezi kutoa huduma vizuri watu wanaenda kisa hela.
 
Wake zao wenyewe wanaponea kwa vijana, wanafichiwa aibu, hivi wake zao wakiyaongea mautopolo yao huko ndani si tutazika wengi? Sema wanawake wanatunza siri sana. Hiyo round 1 sekunde 3-8 wazamani.
Hali mbaya sio hela tu bali hata wanaume saivi hawana nguvi za kiume sasa ngoja nikuchekeshe juzi tumeenda kuokoa mwanaume aliyezimia kisa alikuwa mchezoni maana demu wake alipiga ukunga .
Uwi uwi nisadieni anakufa kufika hapo kijana kakosa nguvu kabisa amefunikwa khanga tu wanaume wenzao wakaja wakamsitiri wakampeleka hospital.

Imeanzaje nilikuwa naye sasa tukaanza vizuri tukashilia amezimia .
Tena ile mara ya pili
 
Back
Top Bottom