Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

Karibuni mpate gari hili hili kwa gharama nafuu kabisa

Piga number 0766-195115
Karibuni sana na Ahsante sana
 
Karibuni sana kwa gari hili kwa bei chee kabisa

Karibuni sana na Ahsante sana
 
Mkuu hii gari ipo wap? Maana inaoneka iliingia serikali kama sikosei ya mapinduzi zanzibar alafu kuna watu walinunua hapo katikati, sasa naomba kujua sasa hivi ipo wap znz au bara? Na je inamilikiwa na nan private au gvmnt? Tatu nasikia makampuni ya bima mara nying yakitaka kuuza gari anauziwa mwenye mali kwanza kama ameikataa au kushindwa ndio wananunua watu wengine je nyie hamkufanya hilo?
 
Khaa! Mkweche huu kwa milioni 29? Nilijua it was too good to be true. Haya weka na picha ya dashboard tuone hiyo airbag ilivyolipuka.
 
Swali la msingi,
Kwenye hiyo ajali, Engine imeguswa??
 
Iko Zanzibar na yote hayo yashafanyika ndo maana tunaiuza
 
Khaa! Mkweche huu kwa milioni 29? Nilijua it was too good to be true. Haya weka na picha ya dashboard tuone hiyo airbag ilivyolipuka.
Sio kubeza biashara za watu mkuu na kama unataka kuona picha zote nishaweka pitia huu Uzi wote utaona mkuu
 
Amarok ni gari nzuri sana kwa safari, matumizi binafsi, ina nafasi ya kutosha ndani na mwendo. Ya ofisi ina 2000cc, na speed 240
 
Weka hata Picha za Ndani basi tuone Dashboard yake ikoje,
By the way hiyo gari kuna matengenezo mengi hapo,
Na ukute watu washachomoa spare,
Fikiria na hilo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…