Car4Sale Wakuu amarok model 2014 cc inauzwa 29 million

Haraka haraka utahitaji
1.taa
2.bumper
3.grille
4.bonnet
5.wing
6.radiator
7.radiator fan
8.condenser
9.expansion tank
10.pas pump*
11.alternator*
12.ac compressor*
13.airbags

Hapo si chini ya 20m.
 
Pata gari hili kwa gharama nafuu kabisa piga 0766-195115
 
Waweza pia kuona picha za ndani

Karibuni sana wakuu.
 
Haraka haraka utahitaji
1.taa
2.bumper
3.grille
4.bonnet
5.wing
6.radiator
7.radiator fan
8.condenser
9.expansion tank
10.pas pump*
11.alternator*
12.ac compressor*
13.airbags

Hapo si chini ya 20m.

hebu acha kuaminisha watu uongo!

taa gani zinahitajika hapo? au bonnet gani linahitajika hapo, wakati unaona ni kurekebisha tu, even hivyo vitu vyote ulivyotaja ni mafikirio, lakini simply kwa wataalamu wa gari ukishaona picha hapo! unajua nini cha kurekebisha !

20mil ya nini yote??
 
Thanks karibu sana mkuu
 
Wewe unajua ufundi au hata bei ya parts za VW Amarok? Nime supply parts za Amarok hata mwezi haujapita najua ninachoongea. Taa ya kulia wewe unaiona hapo? Kuna mtu na akili zake timamu zama hizi utamwanbia anyooshe gari lake. Wacha niishie hapa.
 
kama umesupply, endelea kusupply huko! usituletee uongo hapa! sisi sio watoto wadogo au wajinga tusiojua magari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…