Wakuu..... Eti hapa nimekosea nimemjibu sahihi huyu mlokole wangu?

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,788
Reaction score
113,025
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭
Au nimekosea wakuu....??
 
Na sio tu hivyo, simu ina Biblia matoleo tofauti tofauti. Hivyo utakua umeokoa simu na Biblia
 
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭
Au nimekosea wakuu....??
Umemjibu kitaalamu kabisa, ungeongezea kwa kumwambia siku hizi uinjilisti mkubwa upo mtandaoni.
 
Saizi amen amenuna anasema kwamba anataka kutoka, nimemjibu kwamba naomba anisaidie jambo kama anatoka.....
Ameuliza eti ni jambo gani nataka anisaidie..???
Nimemjibu kwamba akiondoka basi asirudi tena hapa, na atakua amenisaidia sana...😂
Namuona anajizungusha tu hapa geto...😜
 
Raha ya huyo awe na chuchu saa sita, wowowo lisilo michirizi na awe mweupe.
Lile bao la kwanza unamwaga chini kuwashukuru mababu, alafu unamkunja ile style ya dogi kamsusia chura, mbususu inakuwa imehamia mgongoni kazi yako ni kuichakata huku ukipiga ukinga na mayowe.
 
Aisee 🙌🤣🤣watu watapinga
 
Saizi amen amenuna anasema kwamba anataka kutoka, nimemjibu kwamba naomba anisaidie jambo kama anatoka.....
Ameuliza eti ni jambo gani nataka anisaidie..???
Nimemjibu kwamba akiondoka basi asirudi tena hapa, na atakua amenisaidia sana...😂
Namuona anajizungusha tu hapa geto...😜
Mwambie kama geti limekuwa gumu kufunguka akwambie umuombee upako wa kupita katikati ya ukuta 😂😂.
 
Kwanza ilikuwa uchukue simu yake na bible ufanyie testing uone. Mimi kwa sasa mambo na dini ndo kabisa wanazd kuniweka kwa asilimia za juu za kutowaamini. Na ipo cku ntachapa mtu kofi hadi aone mbalamwezi ya kijani. And for sure hata familia yangu sijawahi kuwaona ati cjui kuna maombi kwa flani. Nenda church ibada ikiisha leta miguu nyumban tuendele na mambo mengne tena had sunday nyingne. And they make sure wamenipikia kabsaa na sio wao wameshba na neno la mungu wao mim naanza kuzunga mji kama mbwa dume alofungiwa nje ya geti na huku anafukuzwa.
 
Mkate kibao atazinduka
Yaani hii ni changamoto aiseee...😂
Huyu ndie aliniblock na akasema nisimtafute, kisha baada ya kuona nimekaa kimya.... akaenda kwa jamaayangu kushtaki kwamba skuizi simtafuti...😂
 
Kwanza ilikuwa uchukue simu yake na bible ufanyie testing uone. Mimi kwa sasa mambo na dini ndo kabisa wanazd kuniweka kwa asilimia za juu za kutowaamini. Na ipo cku ntachapa mtu kofi hadi aone mbalamwezi ya kijani. And for sure hata familia yangu sijawahi kuwaona ati cjui kuna maombi kwa flani. Nenda church ibada ikiisha leta miguu nyumban tuendele na mambo mengne tena had sunday nyingne. And they make sure wamenipikia kabsaa na sio wao wameshba na neno la mungu wao mim naanza kuzunga mji kama mbwa dume alofungiwa nje ya geti na huku anafukuzwa.
Dah,n🤔
 
Kaniuliza kwamba.....
Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini??
Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke.
Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia?
Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🤭
Au nimekosea wakuu....??
Katumwa na Paster akupime ili ushuhuda utimie!
 
Back
Top Bottom