Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Kama eneo lina nyumba ya kawaida kwa nn usitafute enwo jingine kwa ajili ya hili ghorofa
Kwa nini nitafute eneo lingine wakati kiwanja ni kikubwa cha kusaza? Huoni kwamba hiyo nyumba iliyopo inanipunguzia mahitaji ya kujenga ghorofa kubwa?
 
Mkuu wasome The Icebreaker na Litro hapo juu ili tuongee lugha moja
 
Tuvyumba tuwili tu twakulala haina haja ya kuingia hasara kiasi hicho, hoyo 70 unaangusha mjengo wa chini vyumba hata vi4 tena wa maana saana, au mzee eneo dogo.

Kama ni ndoto yako siku moja ulale juu(uwe na ghorofa) sawa mkuu.
kwa nyuma mkoa gani hyooo? 70m Kuna Mikoa unaishia lenta tu
 
Mkuu unaweza niptia ramani ya hako kamjengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…