Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Wakuu hata haka kanishinde kwa 70m?

Weka BOQ tuone
IMG-20221027-WA0061.jpg
 
Kama eneo lina nyumba ya kawaida kwa nn usitafute enwo jingine kwa ajili ya hili ghorofa
Kwa nini nitafute eneo lingine wakati kiwanja ni kikubwa cha kusaza? Huoni kwamba hiyo nyumba iliyopo inanipunguzia mahitaji ya kujenga ghorofa kubwa?
 
Shida ako iwe gorofa tu au? Me nimejenga room mbili Moja masta, vyoo ya public ndani,jiko, dining, sebule yote kwa 30m

Hadi kupaua plus bati ndani rough, nondo dirishani ..haijaamiwa finishing hapo bado rangi ndani sakafu ..hicho kigorofa chako kitakula pesa zaidi
Mkuu wasome The Icebreaker na Litro hapo juu ili tuongee lugha moja
 
Tuvyumba tuwili tu twakulala haina haja ya kuingia hasara kiasi hicho, hoyo 70 unaangusha mjengo wa chini vyumba hata vi4 tena wa maana saana, au mzee eneo dogo.

Kama ni ndoto yako siku moja ulale juu(uwe na ghorofa) sawa mkuu.
kwa nyuma mkoa gani hyooo? 70m Kuna Mikoa unaishia lenta tu
 
Shida ako iwe gorofa tu au? Me nimejenga room mbili Moja masta, vyoo ya public ndani,jiko, dining, sebule yote kwa 30m

Hadi kupaua plus bati ndani rough, nondo dirishani ..haijaamiwa finishing hapo bado rangi ndani sakafu ..hicho kigorofa chako kitakula pesa zaidi
Mkuu unaweza niptia ramani ya hako kamjengo
 
Back
Top Bottom