Wakuu hii maana yake nini? Na anayefanya hivi anafaidika na nani?

Fananisha hvyo vichwa juu viwili (senderz) hyo whatsapp ina tick hyo yako inatumia logo ya meta vp hujastuka tu unavutiwa upoteze account yako
 

Attachments

  • Screenshot_20241215-220305.jpg
    476.3 KB · Views: 2
Fananisha hvyo vichwa juu viwili (senderz) hyo whatsapp ina tick hyo yako inatumia logo ya meta vp hujastuka tu unavutiwa upoteze account yakoView attachment 3177630
Logo ya meta ameshatoa haipo Tena,, yani sms imeingia dp ikiwa na logo ya meta, sekunde chache logo ikatoweka, huoni kama ni muhuni tu huyo?
 
Logo ya meta ameshatoa haipo Tena,, yani sms imeingia dp ikiwa na logo ya meta, sekunde chache logo ikatoweka, huoni kama ni muhuni tu huyo?
Hapo logo Iko wapi
 
Sasa meta wakuamdikie msg na hzo nyota nyota za nini...!!
 
Hapana boss hao ni matapeli niamini mm, hiyo sms ilivyoingia imenishtua hata mm ikabidi nianze kuikagia hiyo profile. Hamnaga meta supporter wa hivyo. Kama huamini siku wamekufikia gusa link uone kitakachokutokea
Share link hapa tuone na sisi.

Kwani kuna nini humo ukiifungua hiyo link?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…