Wakuu hii maana yake nini? Na anayefanya hivi anafaidika na nani?

Wakuu hii maana yake nini? Na anayefanya hivi anafaidika na nani?

Share link hapa tuone na sisi.

Kwani kuna nini humo ukiifungua hiyo link?
Onyo la mwisho
*Tafadhali kumbuka kuwa hivi majuzi tumegundua shughuli isiyo ya kawaida kwenye akaunti yako inayohusiana na majukwaa ya mitandao ya kijamii.
*Iwapo ungependa kuendelea kutumia akaunti yako kwa madhumuni ya biashara au ya kibinafsi, lazima uthibitishe kuwa akaunti hiyo ni yako.
*Tunaweza kupiga marufuku akaunti yako na kufuta ukurasa wa mashabiki wako.
*Iwapo unafikiri uamuzi huu si sahihi, unaweza kukata rufaa hapa:
*Iwapo hakuna uthibitisho ndani ya saa 12, ukurasa wa shabiki wako na akaunti itafutwa. Huu ni uamuzi wetu wa mwisho.
© 2024
 
Share link hapa tuone na sisi.

Kwani kuna nini humo ukiifungua hiyo link?
Tayri nimeshare boss, link inaweza kuwa salama ila walakini upo kwa mtumaji. Sio official anaweza kurudi akakutupia kirus ukigusa unaondoka
 
Nimewahitumiwa. Nikaangalia lugha iliyotumika nikaona utapeli, nikaachana nao.
 
Back
Top Bottom