matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Kule inabidi uwe mwarabu ili hiyo amani ikuhusu. Kuna rafiki yangu alikuwa huko kapewa show ya hatari hadi kakimbia mishahara yake karudi kwao mombasa kuuza nyanya magengeni.Kwa amani na utulivu katika nchi nilizowahi kutembelea, ya kwanza ni Saudi Arabia.
Nchi ambayo nilikuta watu wanaacha maduka wazi wakienda kusali na hakuna anaeiba.
Kwa vile watanzania wamezoea kuishi kwa rushwa, ukwepaji kodi na janja janja za kila aina.Ni kweli, hapa ni sehemu bora ya kuishi.
Huko nje kuna strict rules, msululu wa kodi ni hatari.
๐คฃ๐คฃUmesema duniani ?.. acha utani mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafia dini banaKwa amani na utulivu katika nchi nilizowahi kutembelea, ya kwanza ni Saudi Arabia.
Nchi ambayo nilikuta watu wanaacha maduka wazi wakienda kusali na hakuna anaeiba.
Naona uvivu kusoma, hv mwandishi tofauti na rorya sehemu gani nyngn umeishi?
Ndo hivyo, zaidi ya usalama , hakuna cha ziada.Kwa vile watanzania wamezoea kuishi kwa rushwa, ukwepaji kodi na janja janja za kila aina.
Ndio maana wanaona Tanzania ni sehemu salama ya kufanya hivyo.
Nini kinawazuia wasiwe matajiri mkuu.Tanzania sio nchi ya kuishi, Ni nchi ya kuishia.
Watu wanao ishi Tanzania ni wachache sana.
Wengi wa watanzania wanaishia,
Watanzania wengi ni walala hoi, Maskini choka mbaya...
Umeisema vizuri, hii kitu ndio naimaanisha. Sijui kama kuna nchi inapatikana.Kutokana na utamaduni wetu ambao wa kitanzania tuliyouzoea kuishi kijamaa nakubaliana na wewe..
sisi tuna upendo sana....kuna baadhi ya nchi ukitoka tu mkoa mmoja kwenda mwengine unabaguliwa.
Kwa nchi nyingine hawana upendo wa kijamaa kabisa....hauwezi kukuta hii kitu.Umeisema vizuri, hii kitu ndio naimaanisha. Sijui kama kuna nchi inapatikana.
Tanzania ni nzuri ukilinganisha na wapi?๐๐
Waja bhana!
Ni kweli hakuna nchi nzuri zaidi ya Tanzania.
Kwa mtu anayetaka kuishi maisha ya amani na kuridhika.
Mkuu tuwekee hapa, ili siku tukijisikia kutalii basi tupape kipaumbele.Zipo nchi unaweza ishi vizuri kuliko hapa.
Binafsi ni msafiri mzuri tu na nimejionea.
Kuna nchi kama 6 zipo hapa afrika ni bab kubwa unaweza ishi hata bila pesa wewe ni kufanya kilimo, kuvua samaki na mambo yapo vizuri tu.
Na kuna moja nina mpango nikisha staafu nikaishi uko ni kuzuri kupita maelezo.
yote kwa yote nyumbani ni nyumbani.
Tanzania ni nzuri ukilinganisha na wapi?
Sawa. Ukiweza, nyenda na Uswizi upalinganishe na Saudi Arabia.Kwa amani na utulivu katika nchi nilizowahi kutembelea, ya kwanza ni Saudi Arabia.
Nchi ambayo nilikuta watu wanaacha maduka wazi wakienda kusali na hakuna anaeiba.