Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

Tanzania ni nchi bora kuishi ukiwa aina ya mtu mwenye sifa zifuatazo:
1. Mjinga asie jua haki zake.
2. Muoga na masokini asio panda mapambano
3. Alie ridhika na hali yake ya uchumi ata kama anaumia.
4. Mnafiki ambaye anaweza akaishi kwa unafiki unafiki kuchekea kila mtu hata kama umpendi
5. Mtu asie kua na exposure pamoja na elimu upo upo. Nk.
 
Hahahahaha daa!!
 
Umefika Kongwa kiangazi kama hiki?
Au Tanzania ya Sinza, Masaki na Mikocheni?
 
Sawa. Ukiweza, nyenda na Uswizi upalinganishe na Saudi Arabia.
Nimefika uswisi, sijakuta duka linaowachwa wazi.

Huko ndiko chimbo la mali zote mnazoibiwa Afrika na Waafrika wenzenu.
 
Nchi nzuri za kuishi nenda Nigeria,Philippines,Kenya na India
 
Sawa
 
Ccm isingekuwepo basi Tanzania ingekuwa nchi nambari 1 kwa amani dunian, kwa uchumi mkubwa dunian, pia kwa watu wenye furaha dunian.

Mkwamishaji wa maendeleo ya hii nchi ni wanasiasa haswa Ccm na hao wa vyama vingine wanaoamini ktk Demokrasia ya kizushi.

Kiufupi Viongoz ndio wakwamishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…