Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Naona majibishano ya maneno makali yaliyokosa staha ya kidiplomasia na makabiliano halisi ya kijeshi barani Ulaya na Amerika (migogoro ya Russia vs Ukraine, Trump kutaka kuzichukua Canada na kuinyang'anya Greenland kutoka Denmark, mfereji wa Panama).
Mashariki ya kati (migogoro inayomuunganisha Israel vs Palestina vs Houthis wa Yemen vs Iran vs Hizbolah) bila kusahau huku Afrika tuna migogoro chungu nzima isiyohesabika.
Mbona ni kama tumeshaingia kwenye vita nyingine ya tatu ya dunia?
Au hadi nini kitokee ndio tuseme vita ya tatu ya kidunia imeanza?