project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Hapo unaweza pigwa hata karne nzima ya namba mwanafunzi tena halafu kafia kwako wa kike aiseee hapo huponi labda baba yako awe mganga labdaHalaf hapo sasa iwe kidume umechukua kamwanafunzi ka form IV umekatorosha bwenini...Halaf ndio hayo yanatokea..