Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
- #221
Zipo sumu ambazo unaenda fia mbele ya safari huko hata kesho kutwa kabisa. Na si kila mgeni anaweza kuja kwako kwa taarifa, mwingine anapafahamu unapoishi na amekutwa na dharura, simu imezima chaji akaona acha nikalale kwa rafiki yangu, nichaji simu yangu,kesho niendelee na safari. Usiku anakufia.
Hapo inakuwa ni msala na nusu kiongozi...!