Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Je ukikaa na kademu kakafia chumbani halafu nduguze hawakujui inakuwaje hapo?
Unasubiri giza tororo unakaweka kwenye mfuko unaingiza kwenye gari unaenda kutupa polini, mtoni, baharini, au ziwani ila usimshirikishe mtu yeyote binadamu hawana siri ipo siku atasema tu
 
siyo kila sumu inaweza kuwa sababu ya wew kufariki,kuna baadhi ya sumu ambazo hutokana na vyakula tunavyokula so endapo atakuwa amepewa mathalani sumu ya panya huwa ina react ndani ya nusu saa tu mzee hvyo ni ngumu kupewa sumu sehemu fulani then akaja kufia kwako,labda kama kuna lingne? na kmbuka kitu cha kwnza kabla ya marhemu kufa hufatiliwa series ya mawasiliano yake wapi alikuwepo nani aliongea nao na kipi waliongea
Zipo sumu ambazo unaenda fia mbele ya safari huko hata kesho kutwa kabisa. Na si kila mgeni anaweza kuja kwako kwa taarifa, mwingine anapafahamu unapoishi na amekutwa na dharura, simu imezima chaji akaona acha nikalale kwa rafiki yangu, nichaji simu yangu,kesho niendelee na safari. Usiku anakufia.
 
Ushauri mzuri kiongozi ila hapo kwenye simu hata ukiitupa si wanaweza wakacheki na service provider wa mtandao wa simu anayotumia mgeni wako ikakuja kujulikana mara ya mwisho aliwasiliana na wewe mkuu...?
Wakicheki na service provider, watakuja kwangu, nitawaambia ndio alilala hapa, asubuhi aliniaga anaelekea sehemu X (kule nilikotupa simu), na wakifuatilia gps location ya simu yake watagundua nasema kweli alielekea huko, na ndio maana nikakwambia simu yake usiizime.
 
Kwa hiyo ukishaitupa line chalinze, unadhani ndio mwisho wa wewe kuonekana kua mlikua na mawasiliano na marehemu? Marehemu hana simu wala line,

Watu walikuona amekuja nyumbani kwako, baadae ukasema ameshaondoka, kesho yake taarifa zinakuja ameuliwa katupwa mbali, msibani huendi unasingizia unaumwa,

Bro, damu ya mtu haipo rahisi kama ulivyoandika.
I know. Lakini kumbuka mada inasema amejifia mwenyewe, sio kwamba nimemuua. Usioongee kama vile aliyemtupa ndio aliyemuua, hapa tunaangalia namna ya kujinasua na lisilokuhusu. Kuonekana kama alikuwa kwangu sio ishu, asubuhi aliniaga anaenda chalinze, na kweli mkifuatilia mtaona simu yake ilisoma chalinze, ingawaje mwili umekutwa kisarawe. Kwahiyo yaliyomkuta baada ya hapo siyajui.
 
Heshima kwenu wakuu.

Naomba twende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Tuchukulie nina rafiki yangu amelala ndani kwangu then ikatokea bahati mbaya akafa akiwa usingizini, sheria inasemaje kuhusiana na hilo wakuu?

Naombeni muongozo tafadhali. Thanks.
Yani wewe kama unampango wa kumuua rafiki yako alafu unatafuta jinsi ya kuzuga. Sasa ole wako afe
 
mleta mada na wengine wengi mnataka kupewa mbinu za kudispose mwili na ushahidi na jibu ni yes zipo njia 3 za kukimbia kukimbia hilo tatizo na ushahid ukakosekana kabisa but sitaweza kuzitaja sababu sababu situmii id fake na sipendi zitumike
Huna lolote, watu wanaigiza movie za magaidi na mbinu zao, majambazi na mbinu zao, drug dealer na mbinu zao, sembuse wewe kusimulia hizo tumbinu twako tutatu tayaru unajiona CIA. Acha mbwembwe wewe.
 
Yani wewe kama unampango wa kumuua rafiki yako alafu unatafuta jinsi ya kuzuga. Sasa ole wako afe
Wabongo bana, hiyo ni mada kama ambavyo ungeulizwa siku ukimkuta mkeo anagegedwa na babako utachukua uamuzi gani.
So wewe jadili kama mada na sio kuelekeza shutuma kwa mtoa mada..
 
3. Beba mwili, ukatekate vipande.
Kisha nunua chupa 10 za Sulphuric acid 99.9% ile ya maabara (120,000@chupa)
Tumbukiza mapande ya nyama,
Baadae ya masaa 6 utakuta uji uji TU.
Kamwage mtoni au baharini
Hiyo sulphuric inakula mapipa...kwahyo achukue pipa la polyethane maana sulphuric acid haiwezi kulila (niliona kwenye breaking bad jamani TISS mimi sio muuaji)
 
Huna lolote, watu wanaigiza movie za magaidi na mbinu zao, majambazi na mbinu zao, drug dealer na mbinu zao, sembuse wewe kusimulia hizo tumbinu twako tutatu tayaru unajiona CIA. Acha mbwembwe wewe.

[emoji12]
 
I know. Lakini kumbuka mada inasema amejifia mwenyewe, sio kwamba nimemuua. Usioongee kama vile aliyemtupa ndio aliyemuua, hapa tunaangalia namna ya kujinasua na lisilokuhusu. Kuonekana kama alikuwa kwangu sio ishu, asubuhi aliniaga anaenda chalinze, na kweli mkifuatilia mtaona simu yake ilisoma chalinze, ingawaje mwili umekutwa kisarawe. Kwahiyo yaliyomkuta baada ya hapo siyajui.

Bro, kitendo cha kuibeba maiti na kwenda KUITUPA lazima wewe uhusishwe kwenye tukio hilo moja kwa moja,

Damu ya mtu haipoteagi hata baada ya miaka 10 utashangaa tu unakua linked na hilo tukio na hapo hakuna mtu atakuelewa.
 
Back
Top Bottom