"Damu ya mtu haipotei" hiyo kauli inamuhusu aliyeua tena kwa kukusudia. Linapokuja suala la mtu kufa mwenyewe kwasababu zingine na mimi kutokutaka kujihusisha na tukio hilo, hiyo kauli haihusiki hapo.Bro, kitendo cha kuibeba maiti na kwenda KUITUPA lazima wewe uhusishwe kwenye tukio hilo moja kwa moja,
Damu ya mtu haipoteagi hata baada ya miaka 10 utashangaa tu unakua linked na hilo tukio na hapo hakuna mtu atakuelewa.