Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Zipo sumu ambazo unaenda fia mbele ya safari huko hata kesho kutwa kabisa. Na si kila mgeni anaweza kuja kwako kwa taarifa, mwingine anapafahamu unapoishi na amekutwa na dharura, simu imezima chaji akaona acha nikalale kwa rafiki yangu, nichaji simu yangu,kesho niendelee na safari. Usiku anakufia.

Hapo inakuwa ni msala na nusu kiongozi...!
 
Sheria haimtambui rafiki bali inamtambua marehemu

Chai haiwi chai mpaka iwekwe majani ya chai kwenye maji, rafiki akifa tayari anakuwa ni marehemu, sasa sheria inasemaje juu ya hilo kiongozi...!??
 
Chai haiwi chai mpaka iwekwe majani ya chai kwenye maji, rafiki akifa tayari anakuwa ni marehemu, sasa sheria inasemaje juu ya hilo kiongozi...!??
Hapa sio uhusiano wako na marehemu bali ni chanzo ama asili ya kifo...mara nyingi report ya Dr. ndio inaweza kukuokoa ama kukuangamiza...
Kwenye uchunguzi wa kipolisi mazingira alipofia marehemu ndio yatajumuisha mahusiano

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Afu mm naonaga vigogo na masuperstar kwa nchi zetu hizi, vitu kama hivi ningumu sana kuingia kwenye msala
 
Ila itaonekana kuwa wewe ndio ulikuwa wa mwisho kuwaailiana nae mkuu...!
Ni kweli, kama aliandika "Oya nakuja kulala kwako" jibu langu obvious litakuwa "fresh, karibu sana". Baada ya hapo si aliendelea kuwasiliana na watu wengine kabla ya kulala na kujifia zake.
 
Sio lazima afie ndani kwako ndo ushikiliwe kusubir upelelezi. Hata angefia kwao, ukitiliwa mashaka unakamatwa as well kama vile kafia kwako. Na anaweza akifia kwako wakakamatea majirani
Usibadilishe uhalisia wa mada. Jikite kwenye mada husika, usicomplicate mambo.
 
Okay..Tuassume hakuna aliyemuona anaingia ndani kwako..lakini kabla ya kukutana ulikuwa unachat naye mkutane na kuwasiliana naye kwa simu....Sasa hata ukimtupa mtoni hawawezi kufuatilia mitandao ya simu wakajua watu aliokuwa anawasilina nao wa mwisho wakakudaka?
Watajua nilichat nae, hawatajua tulichokua tunachat... kuna loophole hapo.
 
Back
Top Bottom