Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Nikiviangalia sijui muundo wake lakini kwa chini naona Kuna chuma kimepita Sasa hakiwezi kutoka za mbao na kuleta balaa , embu tuambie, je muundo wako ukoje
61paQi0EePL._AC_SL1500_.jpg
 
Hapo cheza na brand au quality inayoaminika.

Kuna huu utitiri wa office chairs za 120k hadi 145k hamna kitu pale.

Jipange angalau ununue cha 250k kwenda juu.

Ghetto nishajichanganya na viti x2 vya 120k vyote nimevigawa. Sahivi natafuta pesa nidake cha 250
 
Mkuu natumia cha kunesa kisichozungunguka Sasa napata shida kukaa nasogeza nyuma kila nilitaka kuinuka
 
Back
Top Bottom