Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

Hapo cheza na brand au quality inayoaminika.

Kuna huu utitiri wa office chairs za 120k hadi 145k hamna kitu pale.

Jipange angalau ununue cha 250k kwenda juu.

Ghetto nishajichanganya na viti x2 vya 120k vyote nimevigawa. Sahivi natafuta pesa nidake cha 250
Brand Gani maana naona bizagaa sana
 
Mkuu natumia cha kunesa kisichozungunguka Sasa napata shida kukaa nasogeza nyuma kila nilitaka kuinuka
Tafuta cha hydraulic na matairi. Ila hakikisha ni vile vya 250k plus. Usinunue Instagram. Nenda K'koo kama upo Dar.
 
Itabidi ukamuulize Mwakyembe kwanza kabla hajakuweka kwenye listi yake...
 
Back
Top Bottom