Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

Brand Gani maana naona bizagaa sana
 
Mkuu natumia cha kunesa kisichozungunguka Sasa napata shida kukaa nasogeza nyuma kila nilitaka kuinuka
Tafuta cha hydraulic na matairi. Ila hakikisha ni vile vya 250k plus. Usinunue Instagram. Nenda K'koo kama upo Dar.
 
Itabidi ukamuulize Mwakyembe kwanza kabla hajakuweka kwenye listi yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…