Wakuu hivi viti vya kuzunguka havina kesi yoyote nataka kununua ila nahofu

Sasa kama unaogopa si uvae helmet au barakoa ya bati
 
Namaanisha hicho kiti kwenye picha ILO chuma likilo kibeba haiwezi tokea hajari likamtoboa mtu kwenye tracko
Mbona unawaza kidhaifu sana mkuu?

Teknolojia yoyote inapobuniwa, hufanyiwa majaribio ya kina kabla bidhaa husika haijaingizwa sokoni.

Unadhani huo mhimili umechongoka kuweza kutoboa?

Hapo katikati huo mhimili unaotoka chini umekutana na chuma cha duara kilichojazwa bearing kwa ajili ya kuzunguka na kimeshika chaga zinazolibeba kochi.

Hakiwezi kutoboa labda kukunjika itakapotumika nguvu kubwa ya kiharibifu.
 
Sasa hilo swali ilibidi waulize watoto wako, sio wewe
Watoto wadogo usiwasumbue tatizo lenu hamjibu maswali mnayoulizwa kazi kujifanya fanya tu
 
Dah wewe ndo great thinker ahsante kwa jibu zuri.


Moderator futa Uzi nimeshapata jibu lililoondoa shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…