masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Wasanii wa kueleweka ni wakina nani? halafu kipi kinawafanya waeleweke ?Elewa mada..nimesema wasanii nje ya wao wenyewe..kwanini hawajasajiri wasanii wa kueleweka? Kwann waokoteze wasanii?
Old skull - dudu bayaHapa sio suala la kupenda au kutopenda...ebu weka ngoma zao kali hapa au zitaje nikazitafute!!
Mkuu endelea kusubiri dodo chini ya mpapaiMkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Minyororo imefunguka mwanangu niki mbishi(jogoo) anaandaa Mashambulizi ,Teh teh ngoja lawama zianze kwenda upande wake...
nimekutukanaHawa jamaa naona promo zao zimejaa vijembe vya kila aina huku wakiongozwa na boss wao, jambo ambalo sijaona umuhimu wake maana muziki ni burudani na sio vita...
Wanajitutumua kusema ni mapinduzi ya burudani mara sijui nini...hapo nikasema ngoja nifatilie list ya wasanii nje na wao..aisee nimekuta vituko huko!!
Humo kuna akina Dudubaya ambaye hajulikani hata anaimba nn zaidi ya kupayuka Konki konki....nao wameona akina Chiny beez, moko na stereo ndio wasanii wa kufanya mapinduzi wanayohubiri...
Nyie jamaa sajirini watu wa kueleweka tutawaunga mkono na sio kutuleta akina One Incredible na Khadija Kopa ambao munawalipa laki mbili mbili...
Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Sasa hao wengine wamewaweka wa kazi gani?
Elewa mada..nimesema wasanii nje ya wao wenyewe..kwanini hawajasajiri wasanii wa kueleweka? Kwann waokoteze wasanii?
Nafatilia Bongo Fleva toka 95...ebu tuambie hapa hits za hao jamaa...
Mkuu unaamini watu wanabaniwa...ukiwa na kazi nzuri sokoni kila mtu atataka afanye kazi na ww!!
Niambie nani amewahi kuwa hits sokoni alafu akabaniwa...
Mnafatilia wapi mkuu...mbona kizuri kinajiuza tu!! Hao jamaa wanaimba vitu ambavyo havitrend redion wala kwenye social media...
Wanaimba nini??
Anzisha uzi mkuu..uulize hilo!!
Nani huyo asieshindana?anashindana na asie shindana
Kibakuli na yeye anaandaa yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasani wa wasafi tu wanatosha kwa festival yote .. ao wengine ni waziada mwanzo huuu acheni paniki ...sasa sijajuwa festival ya kibakuli itaitwa kibamia festival ao hahahaha
Aisee,weh acha tu Kiongozi.Una umri gani na umeanza kufuatilia mziki lini?
Yani hujui uwezo wa singasinga chunda bad??