Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto.


To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba Namba ake.

hakusita nipa namba
baada ya hapo tuliagana yeye Akashuka buza Mimi nikaenda hadi home Temeke .
After two days nilimcheki then yeye Mwenyewe akaanza jitongozesha . So alinambia kaumizwa sana na Mapenzi so anahitaji Mtu was kumfuta Machozi.

Mimi nilimpa moyo na Tukaanza kudate.

Sasa huyu demu kiufupi nilimuomba Appointment ili tuonane coz aliniambia anafanya biashara za Mnadani honestly Mimi Mwenyewe nauza Ubuyu so niliona wazi hapa nimepata mtu makini aambaye tupo ktk jahazi moja tukielekea Pemba.


Sasa to cut the story
Mzinga wa kwanza. Kabisa aliniomba elf 16k ili Asuke nikaamua mtolea nje sababu ya kumnyima nilimwambia sikufahamu vizuri so siwez kukutumia hiyo pesa kwa sasa hadi tuonane . Akasema sawa

So jumapili nilienda kwake tukaonana nikampa buku 5 ya chakula na hatujafanya chochote .

Sasa Cha Ajabu Jana kaniomba buku 03 eti Hana hela ya kula so nikajiuliza maswali hivi huyu demu anadai yeye Biashara inamlipa vizuri hadi hatamani kuajiriwa so how comes aniombe hela ya kula buku tatu .

Kiukweli sijamtumia hadi sahv

Funzo
Kama unataka Mwanamke usitafute single Mother number A ni hatari Bora tuendelee na namba D zetu 22 kushuka chini kuliko namba A ambao most of them hawana Huruma wapo tiyari kuongea uongo ili wapate pesa na kusahau kuwa Love is progress.




IMG_20220513_210706_880.jpg
 
Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto.
Dogo,
Tafuta fedha kwanza..
Kama 3k unalialia hivi, siku ukipelekewa kombora la laki kadhaa utasemaje?!!!
 
Kutoka kimapenzi na kijana inahitaji uwe na moyo wa chuma, kwanza hawana siri anaweza kukuanika popote na kuweka ya sirini wazi.

Ona kijana alivyomuanika mdada hadharani.

Wadada ifike hatua mjue kutafuta wanaume waliokomaa na sio vijana maana mtafedheheshwa.
 
Back
Top Bottom