Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

Duuh hujawahi hata kumpa masikini njiani?
3k unashtaki jf mkuu?
Sio sawa hii kama huna unamjibu huna maisha yanasonga

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Jamaa yupo sahihi kufanya hivo! sio kwamba anashindwa hapana mtoto wa kiume mara nyingi huwa tuna long term plan sasa ukiona demu ameanza kuomba vipesa kidog kidogo kwa visingizio vya njaa sijui mara nini..Hakuna love 100% labda kama mtu anataka kupiga na kusepa hapo ndo atatoa toa pesa ili amvute samaki kikaangoni
 
Ni shida kweli..wewe bado mtoto..endelea kuchezeana na hao hao namba D kula kulala wenzio..kuombwa elfu 3000 tu unaleta hapa..inavyoonekana uliingia na matarajio ya wewe kuhudumiwa.
 
Back
Top Bottom