Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]xawa nimekuelewa xana mkuu....ngoja nile mxoxi hapa
au wale wanaotumia ‘my’ mfano mambo my, umekula my , hujambo myDem hata awe mkali vipi,nkiona tu huo uandishi
mwelekeze tu unamwambia “My mi sipendi unavoandika messege my” 😅😅😅Mxoxi ndo Msosi?
Kwa huo mwandiko tu uyo demu kwangu amesha kua disqualified
Xaxa Warda cha muhimu ujumbe ufike 🤣🤣Una moyo wa uvumilivu,yaani mtu anaetumia x badala ya s aisee naonaga kinyaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Xaxa boxi leo xn ela ya kula .. nfanyie wepexi wa buku 2 eee lkn ukixhanixaidia naomba uxinianike mpk xura yng, wala uxije xema humu jf maana wadau wa huku jau xn.. wana mineno balaa 😣Mfichie aibu yake, umemuanika mpaka sura inaonekana...
Muandiko huo aisee unanipa tabu kusoma... nitakupa buku 3 na kipaza sauti...Xaxa boxi leo xn ela ya kula .. nfanyie wepexi wa buku 2 eee lkn ukixhanixaidia naomba uxinianike mpk xura yng, wala uxije xema humu jf maana wadau wa huku jau xn.. wana mineno balaa 😣
Jitahidi bana wee 🤣🤣🤣Muandiko huo aisee unanipa tabu kusoma... nitakupa buku 3 na kipaza sauti...
Wadau wa jf kama Mabantu... 😎😎
🙂🙂Jitahidi bana wee 🤣🤣🤣
Kwahiyo ukiamka utanipea hiyo buku3
Kuhusu kipaza sauti na mabantu me mwenyewe Mwajuma 🤪🤪 hainishtui
Hahahahhahh kilema hichoxawa nimekuelewa xana mkuu....ngoja nile mxoxi hapa
😂😂 kweli eeh? Mia naimudu..🙂🙂
Kuna dili nalisikilizikia hapa likikiti nitakupa buku3 na mia nne...
mia utajiongeza mwenyewe
Kwa sasa nitakupa kipaza sauti tu... unitendee unyama...
Milena hichoXaxa ndo mnatuxema apa? Xixi wenyewe tukiona mnaandika s badala ya x tunaona kinyaa