Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Utajenga myumba ya 2 bed rooms, 1 kitchen, 1 seating room, 2 toilets.Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Million 20 HII HII ninayoijua MIMI tuanze na Bei ya Mfuko 1 wa CementUtajenga myumba ya 2 bed rooms, 1 kitchen, 1 seating room, 2 toilets.
Utapiga plaster nje na ndani, utafanikiwa kufanya skiming ndani na kupaka rangi.
Utaweka water lines, umeme, itatosha kuweka taa na utafanikiwa kuweka jipsam.
Sakafu utaiweka ingawa unaweza usifanikiwe kumaliza kuweka tailes nyumba nzima.
Hautofanikiwa kuweka uzio, lakini bati utafanikiwa kuweka la msauzi.
Ulichukua hatua gani baada ya kupata ushauri ?Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Vyumba 2 ,jiko,sebule ,bafu na choo na store.Lete raman tukutolee kitu hichoNina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.
Kweli mzee unaifahamu vizuri JF imekuwa kama X siku hizi kila mtu anajua standards za juu za chini aaahWe kaanze kujenga. Humu watakwambia kuezeka tu milioni 20!!
Bro umeelezea vizr mim, yangu ya vyumba vitatu, vyote selfie, sitting room, dining, jiko master ina dressing room, nishapiga bati tayr na shaweka magrills, nataka mwakan nianze kufanya usafi je kwa uzoefu wako nikiwa na 20m nawez kuimlz kunifanyia usafi bila fensi.?Utajenga myumba ya 2 bed rooms, 1 kitchen, 1 seating room, 2 toilets.
Utapiga plaster nje na ndani, utafanikiwa kufanya skiming ndani na kupaka rangi.
Utaweka water lines, umeme, itatosha kuweka taa na utafanikiwa kuweka jipsam.
Sakafu utaiweka ingawa unaweza usifanikiwe kumaliza kuweka tailes nyumba nzima.
Hautofanikiwa kuweka uzio, lakini bati utafanikiwa kuweka la msauzi.
Unajenga nyumba ya chumba vitano bila shida ila finishing ndio itakuwa mtihaniNina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga
nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi
naombe ushauri wenu.