Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?

Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Hukuitwa kwenye kikao na waziri na watu wa wizara pamoja na DMO wako....maana hizi kesi lazima uwekewe kikao kwanini Mjamzito amefariki mikononi mwako.

Pole sana...Sijui madaktari na wauguzi wanapata wapi misaada ya kisaikolojia kuhakikisha afya zao za akili zipo sawa kutokana na stress kubwa wanazokumbana nazo kazinj
 
Back
Top Bottom