Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Ni kituo cha afya kipo mjini Dodoma katikati ya jiji kabisa, kutokana na kutokuwepo kwa hospital ya wilaya ya serikali, Makole ambacho ni kituo cha afya kinalazimika kubeba mzigo wa kuhudumia watu wengi hasa wa kipato cha chini.
Makao makuu ya inchi 🙌
Mungu atusaidie!
 
Mpaka hapa umedhirisha upumbavu wako.

Kuna vitu muhimu vya lazima vya kuandaa wakati unajiandaa kumzalisha mama mjamzito

Huwezi kujiandaa kuzalisha hali ya kuwa huna, IV giving set, urine bag,, NS/RL ,Canula,Catheter ,Oxytocin, Tranexamic acid,

Mlifunga na stoo tena ? Kuna mtu anaenda kuliwa kichwa
Kwamba kadri anavyoendelea kujieleza ndo anaharibu zaidi😁.
 
Sana stress nikikumbuka jinsi alivyopeteza maisha
Nikupe pole lakini unaweza kuona au kuwaza kwamba pengine ungefanya hili au lile ungeweza kuokoa maisha ya mama na mwanae, lakini haikuwa ivyo.

Mimi na wewe tupo hapa leo lakini ikifika wakati wakuondoka hata tukipatiwa msaada na wale wataalamu tunaowaona nia wataalamu hawataweza fanya jambo lolote. Kila kitu kina muda wake na muda ukifika umefika umefika

Kupitia tukio hilo ulimwengu una namna ambayo umekufundisha jambo binafsi katika maisha yako. Endelea kuomba ulimwengu ukufunulie hilo fumbo ambalo umeliona wewe kupitia mwenzako.
 
Back
Top Bottom