Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Bila sheria ya kuwashtaki madaktari kwa mamilioni na kupoteza license zao za udaktari hawataacha uzembe, najua watu wawili walipoteza maisha kwa ujinga kabisa, wote baada ya operation walipata infections kwa vitu vilivyoachwa ndani yao na procedure hazikufuatwa, mimi mwenyewe niliwahi kupewa wrong diagnosis & prescription za uwongo kabisa
Duh acha nikae kimya tu. Ila in short,watu wengi wanapoteza maisha kizembe sana. Mbaya zaidi hakuna hatua wala mabadiliko yoyote.
 
Ndiyo shida ya kuanzisha watoto shule wakiwa na miaka 4, anamaliza diploma akiwa na miaka 20.

Ona sasa mambo madogodogo kama haya hata bado haujui.

Na unapataje PTSD kwa changamoto ya kazi yako, kitu ambacho ni unajua kabisa in one way or another litatokea tu.

Sasa kama unapata PTSD kirahisi hivi, si confidence yote ya kuhudumia watanzania itaisha?
Kabisa maanake hata wagonjwa wengine atawahudumia kwa wasiwasi
 
Kamati itachunguza, na wewe utapewa muda wa kujieleza, ndio taratibu zingine zifuate.
Kwa kuwa kosa lilishafanyika, na ni mara ya kwanza kukutokea, kamati inaweza kutoa mapendekezo yao, inaweza kuwa onyo n.k
Waliniambia nisiguse mgonjwa ila niende tu nisign in and out sasa nawaambia kwanini nisikae nyumba tu nisije kazini wanasema watanisamishia mshahara aaaah good enough nina millions in account na mkurugenzi atalilipa loan yangu kama nikiwa fired.
 
Pole sana; hiyo changamoto inatokea kwa baadhi ya kinamama; na ikitokea unatakiwa uombe msaada chap kwa dactari akusaidie. Muhimu zaidi ni kumchoma sindano ya kupunguza damu kutoka .....lakini pia kuongezewa damu kwa haraka iwezekanavyo.
Sasa sijui kama ulikuwa kwenye hospitali ngazi gani hivyo siwezi kuongea zaidi.
Kuku ambia usitoe huduma; wanataka tu kujiridhirisha kuwa ulifuata taratibu zote za dharura ili kuokoa maisha
Yes.

Hapo angechoma tranexamic acid IV, ange pack gauze , then angeita msaada asaidiwe.
 
Waliniambia nisiguse mgonjwa ila niende tu nisign in and out sasa nawaambia kwanini nisikae nyumba tu nisije kazini wanasema watanisamishia mshahara aaaah good enough nina millions in account na mkurugenzi atalilipa loan yangu kama nikiwa fired.
Mkuu hapo nakuelewa kabisa. Kama kumuona mjamzito kunakurudishia tukio baya na kukufanya upate hofu au mshtuko, usijilaumu wala kujiona dhaifu. Mwili na akili vinaweza kubeba kumbukumbu za tukio zito kwa muda.

Kwa sasa usifanye maamuzi makubwa ukiwa kwenye presha. Fuata maelekezo uliyopewa kazini, eleza kwa utulivu hali unayopitia, na ikiwezekana tafuta msaada wa kitaalamu ili upate namna salama ya kukabiliana na hizo kumbukumbu. Hii haimaanishi maisha yako yameishia hapo. Polepole utapona na kurudisha utulivu wako. Mungu akutie nguvu mkuuβ€”usikate tamaa, kuna kesho nzuri mbele yako. 🀝🏽❀️
 
Waliniambia nisiguse mgonjwa ila niende tu nisign in and out sasa nawaambia kwanini nisikae nyumba tu nisije kazini wanasema watanisamishia mshahara aaaah good enough nina millions in account na mkurugenzi atalilipa loan yangu kama nikiwa fired.
We nenda uwe una sign in/out hakuna shida.
Utapewa adhabu au onyo, we vuta subra.
 
Back
Top Bottom