Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
- Thread starter
- #81
Usiku halafu nilikuwa peke yanguIlikua shift gani mchana au usiku..?
Usiku halafu nilikuwa peke yanguIlikua shift gani mchana au usiku..?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hujui kazi wewe,unatakiwa ufungwe
😳😳 mganga wa kituo ana la kujibu,Usiku halafu nilikuwa peke yangu
Dah inasikitisha!Alifariki baada ya kuzaliwa
Haujui kitu mkuu usihisi mimi ni mjingaSio rahisi kama unavyofikiri.
Third management of labour ina mambo mengi sana.
Huenda placenta haikutoka yote kuna baadhi ya tissue zilibaki wakati anajifungua hivyo ikapelekea akapata Post partum hemorrhage au huenda huyo mama alikuwa na indications za kufanyiwa CS jamaa akafosi amzalishe kwa SVD matokeonyake ndio haya.
Umejuaje kama hajui kazi..?Hujui kazi wewe,unatakiwa ufungwe
AmiinDah inasikitisha!
Sad indeed,pole sana aisee Mungu awarehemu marehemu.
Sahihi kabisa.Huu sio muda wa kumtia lawama ni hali ambayo inaweza kumtokea daktari yyte
Mjinga huyo nimezalisha wagonjwa ziadi ya 50 bila kupata shida yoyoteHaujui kitu mkuu usihisi mimi ni mjinga
Watu wanaheka heka sanaSahihi kabisa.
Kazi ya udaktari ni ya lawama sana.
Akipona mgonjwa , asante anaenda kupewa mchungaji.
Nimezalisha wagonjwa zaidi ya 50 hawakuwahi kupata changamoto yoyote ileSahihi kabisa.
Kazi ya udaktari ni ya lawama sana.
Akipona mgonjwa , asante anaenda kupewa mchungaji.
Sawa usiwe mkali sasa jamaa ulicheck tension mara ngapi tangu aonyeshe dalili?Haujui kitu mkuu usihisi mimi ni mjinga
Inaeleweka!Siko sawa nikikumbuka lile tukio
Nsion sorry kwa maana ipi?Sawa usiwe mkali sasa jamaa ulicheck tension mara ngapi tangu aonyeshe dalili?
Nadhani huenda alipata tear na mleta mada usikute hajui ku repair tear.Chanzo cha huyo mjamzito kupoteza damu nyingi ni nini?
Sema wajawazito, mimba siyo ugonjwa 😁nimezalisha wagonjwa ziadi ya 50
Blood pressure basiTe
Nsion sorry kwa maana ipi?
iyo stress zenyewe hiziSema wajawazito, mimba siyo ugonjwa 😁
Dah! Nimeamini kujifungua ni nusu kifo😒Nadhani huenda alipata tear na mleta mada usikute hajui ku repair tear.
Au pengine zile tissue hazikutoka zote ndizo zilizopelekea massive bleeding.
Ilikuwa normal 133/60Blood pressure basi