Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Unakosea ile ni Health Center yenye hadhi ya Hospital ya wilaya wajawazito pale kama mvuaIla pale Makole sio sehemu ya mtu kujifungulia jamani khaa
Unakosea ile ni Health Center yenye hadhi ya Hospital ya wilaya wajawazito pale kama mvuaIla pale Makole sio sehemu ya mtu kujifungulia jamani khaa
Hadhi haiendani na ubora wa huduma zinazotolewa.Unakosea ile ni Health Center yenye hadhi ya Hospital ya wilaya wajawazito pale kama mvua
Bila sheria ya kuwashtaki madaktari kwa mamilioni na kupoteza license zao za udaktari hawataacha uzembe, najua watu wawili walipoteza maisha kwa ujinga kabisa, wote baada ya operation walipata infections kwa vitu vilivyoachwa ndani yao na procedure hazikufuatwa, mimi mwenyewe niliwahi kupewa wrong diagnosis & prescription za uwongo kabisa
Negligence is a severe medical malpractice.... If found gulity you may be permanently banned from practicing medicine anywhere in Tanzania.Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Haupo sahihi,hauwezi ukachukulia vitu kama hivi simpo simpo bora liende.Ndiyo shida ya kuanzisha watoto shule wakiwa na miaka 4, anamaliza diploma akiwa na miaka 20.
Ona sasa mambo madogodogo kama haya hata bado haujui.
Na unapataje PTSD kwa changamoto ya kazi yako, kitu ambacho ni unajua kabisa in one way or another litatokea tu.
Sasa kama unapata PTSD kirahisi hivi, si confidence yote ya kuhudumia watanzania itaisha?
Dah! We jamaa umenifanya nika-google ili kujua PTSD ni nini....Ndiyo shida ya kuanzisha watoto shule wakiwa na miaka 4, anamaliza diploma akiwa na miaka 20.
Ona sasa mambo madogodogo kama haya hata bado haujui.
Na unapataje PTSD kwa changamoto ya kazi yako, kitu ambacho ni unajua kabisa in one way or another litatokea tu.
Sasa kama unapata PTSD kirahisi hivi, si confidence yote ya kuhudumia watanzania itaisha?
Kipi kinacho kupa stress sasa kifo au kufukuzwa kazi?.iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Relax, review meeting itafanyika, things happens, kama kila kitu ulifanya kwa usahihi, the protocols of delivery etc usiwe na shida. Ni jambo la kujifunza pia. Ningekuwa mimi in your position ningeshukuru kabisa kutolewa kwenye hiyo idara ya kuzalisha kwa sababu ya siasa nyingi zilizopo especially kwenye hizi mortality issues, mema yako yote yanaweza kusahaulikaWakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Ungali muuliza kwanza ana muda gani wa kuzalisha(hio mara yake ya kwanza au) manake mzowefu kama wewe. Mwenye kufanya makosa hayohayo ya kuuwa wajawazito kwa makusudi imekutoa mpaka woga na huruma.Ndiyo shida ya kuanzisha watoto shule wakiwa na miaka 4, anamaliza diploma akiwa na miaka 20.
Ona sasa mambo madogodogo kama haya hata bado haujui.
Na unapataje PTSD kwa changamoto ya kazi yako, kitu ambacho ni unajua kabisa in one way or another litatokea tu.
Sasa kama unapata PTSD kirahisi hivi, si confidence yote ya kuhudumia watanzania itaisha?
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Sikupona, nikaenda kwa daktari mwingine akafanya assessment + full lab, akacheck na past diagnosis,alichogundua hata lab results zao ni fake na inawezekana hawakufanya (was just a made up BS),nilipona within a weekUlijuaje kama ni wrong diagnosis na prescription za uwongo ?
Makole ni chinja chinja. Pale ni sio pa kujifungulia haki tena.Nenda Makole Hospital ujifunze namna gani wanakufa kwa sababu hiyohiyo na bado ma RN wanadunda