Kama umeajiriwa serikali wala usiwaze sana,ila kama upo sekta binafsi halafu hospital za ajabu ajabu hizi kazi unayo.
Iliwahi kunitokea aisee mjamzito alikuwa na eclampsia alifariki pamoja na mtoto, nilikuwa naripoti halmashauri kila siku kusikiliza hukumu yangu nikawekwa mpaka zoom meeting na wizara ya afya nieleze ilikuaje.
Baadae wakanipa adhabu mwaka mzima niende hospital ya serikali nikae martenity ward/leba mwaka mzima,ila cha kushangaza sasa ile hospital vifo vilikuwa vinatokea na mambo yapo fresh nikajua serikalini kwenye huduma za afya kuna matatizo yanatokea kwa uzembe na hakuna kuwajibishwa.
Aloooh sitokuja kusahau