Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Ningependa kufahamu hiyo Makole ipo wapi hapa Tanzania?

Ni hospital ya wilaya,mkoa au zahanati ya kijiji?
Ni kituo cha afya kipo mjini Dodoma katikati ya jiji kabisa, kutokana na kutokuwepo kwa hospital ya wilaya ya serikali, Makole ambacho ni kituo cha afya kinalazimika kubeba mzigo wa kuhudumia watu wengi hasa wa kipato cha chini.
 
Ulimzalisha kwa njia gani CS au SVD?

Ni ujauzito wa ngapi?

Ana umri gani?


Kulikuwa na companion wake pembeni wakati anajifungua kama labour care guide inavyoelekeza?
Kwa SVD,ujauzito wa pili,kulikuwa na companion pia ila sasa lawama zipo eti kwanini sikushout for help,kwanini sikumrefer? Kwanini ulichelewa kutoa taarifa ya kifo?
Maternal death kama itajulikana kosa ni la uzembe inaweza ikapelekea ukafutiwa leseni mazima na usitambulike tena kama wewe ni daktari au ulishawahi kuwa daktari na mbaya zaidi unaweza ukafungwa.
Kosa la uzembe kama lipi?
 
Maternal death kama itajulikana kosa ni la uzembe inaweza ikapelekea ukafutiwa leseni mazima na usitambulike tena kama wewe ni daktari au ulishawahi kuwa daktari na mbaya zaidi unaweza ukafungwa.
Lakini unadhani sheria yake kwa hapa bongo kuna uwezekano ikawa inakaziwa kama ulivyosisitiza hapa hata dokta muhusika akapelekwa jela?
 
ila sasa lawama zipo eti kwanini sikushout for help,kwanini sikumrefer? Kwanini ulichelewa kutoa taarifa ya kifo?
Siyo lawama tena hayo ni maswali ma 3 kati ya 600 utakayoulizwa na wataalamu tena wabobevu wanayoijua hiyo kazi

Muhimu: usitie huruma ila usiwe mkali kuwa calm jibu kila kitu kwa usahihi, wakija wakaguzi kutoka wizarani hadi mganga mkuu mavi debe

Kwahiyo tulia tuu, vipi Daktari aliyekuwa anamtibu Magufuli baada ya kuona mwamba kanyooka pale, ungekuwa wewe si ungeharisha kabisa 🤣🤣🤣
 
Yataisha utaendelea na kazi
Sio rahisi kama unavyofikiri.

Third management of labour ina mambo mengi sana.

Huenda placenta haikutoka yote kuna baadhi ya tissue zilibaki wakati anajifungua hivyo ikapelekea akapata Post partum hemorrhage au huenda huyo mama alikuwa na indications za kufanyiwa CS jamaa akafosi amzalishe kwa SVD matokeonyake ndio haya.
 
Back
Top Bottom