Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Pole sana mwaisaNd
iyo stress zenyewe hizi
Pole sana mwaisaNd
iyo stress zenyewe hizi
kuja kuamini hii kitu namuwazia mke wangu 😭😭😭😭Dah! Nimeamini kujifungua ni nusu kifo😒
Usijali sistaa Mungu atabariki,kila mtu ana hatma yake marehemu tunaemjadili hapa ndiyo hivyo yake imefika ya kwako haiwezi kufanana nae!Uzi wako nimeusoma wakati mbaya! Nipo nahesabu tu siku za kujifungua halafu nasoma habari kama hii😔
Ulipima mara moja tuu wtf!! Haya ulikumbuka ku take note 📝 au ulikariri kama vipimo vya surualiIlikuwa normal 133/60
Sadly hautamzalisha wewe, Mipango ya Mungu tuuNdiyo nime
kuja kuamini hii kitu namuwazia mke wangu 😭😭😭😭
AsanteUsijali sistaa Mungu atabariki,kila mtu ana hatma marehemu tunaemjadili hapa ndiyo hivyo yake imefika ya kwako haiwezi kufanana nae!
Wangapi wanajifungua na hawafi?
Lawama napewa ni kwamba kwanini sikum refer,kwanini sikishout for help,kwanini haukutoa taarifa mapema wakati nilikuwa peke yanguUchunguzi utafanyika, kama kifo kilisababishwa na uzembe, sheria zitatumika.
Isikilize akili yako na moyo wako ukichomoka hapa usirudie kabisa kufanya hicho kitu.Sina hakika kama nitaendelea kufanya kazi post traumatic syndrome itafanya niharibu zaidi
Na kuhusu wajawazito kila nikowaona post traumatic syndrome inanijia aiseee sijui lini nitakaa sawaSadly hautamzalisha wewe, Mipango ya Mungu tuu
Pole sanaSIna hakika kama nitaendelea kufanya kazi post traumatic syndrome itanitesa sana
Wewe ni type ya wale watoto wenye majina ya kina junior 😁😁Na kuhusu wajawazito kila nikowaona post traumatic syndrome inanijia aiseee sijui lini nitakaa sawa
Unahisi naweza nisichomoke? Oooh good enough I have alot of millions in account na nina loans mkurugenzi atalilipa kama nikiwa firedIsikilize akili yako na moyo wako ukichomoka hapa usirudie kabisa kufanya hicho kitu.
Huyo hata asipopoteza kazi, possibility ya kuhamishwa kituo ni kubwa sana.Pole sana mkuu..
Unaweza usipoteze kazi ila ni muda wa kukaa chini na kufanya tathmini kama uendelee na hio kazi??,; kupanic na kupata PSTD litajirudia mara ngapi in the future?! Sababu nature ya kazi yako ni utakutana na same scenario...
Unanifurahisha japo nina huzuni labda kwasababu ni last bornWewe ni type ya wale watoto wenye majina ya kina junior 😁😁
Stand straight be a man, move on Mungu atakusaidia
Wangapi wanasababisha mimi sio wa kwanza bwana aaaahHuyo hata asipopoteza kazi, possibility ya kuhamishwa kituo ni kubwa sana.
Achana na kitu kinaitwa Maternal Death , utalia na kusaga meno.
Kweli kabisa , unakuta mtu mpaka anaenda kujifungua amehudhuria kliniki mara moja tuPole dokta,kifo cha mjamzito sio mchezo na mbaya zaidi lawama wanapewa wahudumu hata kama yeye hahusiki. Usipaniki,cha muhimu tunza kumbukumbu zote muhimu ambazo zitakuokoa huko mbele. Haya mambo ni magumu hapa Bongo,picha linaanza wajawazito hawahudhurii kliniki ipasavyo,dawa muhimu hawatumii,yaani anakuja kujifungua tayari anachungulia kaburi. Hapo bado unakuta hospital haina vifaa vya kutosha,mara damu hamna, lakini kifo kikitokea lawama kwa daktari.
Naamini utashinda hili mkuu.
Kamati itachunguza, na wewe utapewa muda wa kujieleza, ndio taratibu zingine zifuate.Lawama napewa ni kwamba kwanini sikum refer,kwanini sikishout for help,kwanini haukutoa taarifa mapema wakati nilikuwa peke yangu