Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Ni kituo cha afya kipo mjini Dodoma katikati ya jiji kabisa, kutokana na kutokuwepo kwa hospital ya wilaya ya serikali, Makole ambacho ni kituo cha afya kinalazimika kubeba mzigo wa kuhudumia watu wengi hasa wa kipato cha chini.
Malizia sentence, ndugu zangu wagogo wanapapenda na ndio maana wanashindwa kutofautisha, kituo Cha Afya na Hospital ya rufaa au mkoa
 
Siyo lawama tena hayo ni maswali ma 3 kati ya 600 utakayoulizwa na wataalamu tena wabobevu wanayoijua hiyo kazi

Muhimu: usitie huruma ila usiwe mkali kuwa calm jibu kila kitu kwa usahihi, wakija wakaguzi kutoka wizarani hadi mganga mkuu mavi debe

Kwahiyo tulia tuu, vipi Daktari aliyekuwa anamtibu Magufuli baada ya kuona mwamba kanyooka pale, ungekuwa wewe si ungeharisha kabisa 🤣🤣🤣
Dogo ana shangaza .

Hajui Call for help ni part ya management ya PPH , na ni lazima afanye hivyo .

Na hapo kwa mtoto amesema naye amefariki muda mchache baada ya kuzaliwa, ina maanisha na mtoto naye alikuwa anahitajika afanyiwe resuscitation ila akafanya uzembe.

Na pia kama aliona kesi ngumu kwa nini asiisogeze mbele waka deal nayo?
 
Wewe unayejua kwa nini umeua mtoto na mama?

Inasikitisha hujui call for help ni sehemu ya management ya PPH, hujui kutoa referral ni sehemu ya management pia.

Usikute hujui hata ku assess placenta kama ipo complete au lah ndio maana umeua.
Ohooo... Kumekucha sasa'

Inawezekana akawa yuko frustrated na kilichotokea, nenda naye taratibu mtaalamu.

Ila nime notice vitu kadhaa kutokana na aliyeanzisha mada
1. Mteja huenda hakuwa kwenye setting sahihi
2. Huenda hakukuwa na consultation ya moja kwa moja kati yake yeye na Daktari, kwasababu inaonekana mtu huyu ni muuguzi
3. Hakutaka kushirikisha yeyote hata kuita usaidizi kama alikua kwenye setting sahihi
 
Katika hivyo vyote vitatu vyote ni makosa.

1) Kama hakuwa kwenye setting nzuri , na aliona dalili hatarishi ilibidi atoe referral

2) Ndio maana kuna kujaza LCG kwa ajili ya ku monitor labour , kama aliona kuna ugumu au dalili hatarishi angeita watu.

Management ya PPH kitu cha kwanza kabisa ni Call for help kabla ya mambo mengine yote.

Na usikute huyo mama alipata obstructed labour ila jamaa kakomaa tu .
 
Back
Top Bottom