Sex body
JF-Expert Member
- Nov 30, 2023
- 508
- 1,098
Na anajibu kabisa kwa kujiamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unaendaje vitani bila silaha?
Usikute hata huyo mtoto alipata birth asphyxia hivyo alishindwa kum resuscitate ndipo akapelekea kifo chake.
Kwa kifupi ni uzembe.
Na hawezi kunishawishi hospitali nzima alikuwa yeye peke yake , bila nesi, bila lab technician,MA , angalau wangekuja kum assist.itakua
Pole sana ,ishatokea subiri uchungunzi mtangulize Mungu mbele nj sehemu ya changamoto ya kazi usiwaze sana. Na kuleta huku mitandaoni ndio unazidi kuharibu na unazidi kujiba mawazo tu we ungesuburi uchungunzi ,pata mda wa kufanya mazoezi,piga stori na ndugu na jamaa basi hii ni sehemu ya changamoto tuWakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)