Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Pole sana mkuu, nafikiri ikiwa uli observe procedures zote na ku maintain ethics, usiwe na shaka,jiamini tu.
Ukiambiwa ajali kazini ndo hiyo Sasa

Binafsi nilishawahi kutana na hiyo scenario kipindi ni mwanafunzi tena mbaya zaidi ni wakati naifanya mtihani wa clinical, tofauti ni kwamba wewe ni daktari.

Mzee nilikuwa namfanyia barium swallow kumbe alikuwa na fistula so akawa ame aspirate, hata hivyo alikuwa ni mgonjwa mahtuti, ingawa haikuwa big issue Lakini ni jambo ambalo hadi Leo lipo kichwani mwangu
 
Fu
Unahisi sikuwaza? Funguo za stoo ya dawa zilifungwa unahisi ningefanyeje?
Mpaka hapa umedhirisha upumbavu wako.

Kuna vitu muhimu vya lazima vya kuandaa wakati unajiandaa kumzalisha mama mjamzito

Huwezi kujiandaa kuzalisha hali ya kuwa huna, IV giving set, urine bag,, NS/RL ,Canula,Catheter ,Oxytocin, Tranexamic acid, PENGUIN NK.
 
Ndiyo shida ya kuanzisha watoto shule wakiwa na miaka 4, anamaliza diploma akiwa na miaka 20.

Ona sasa mambo madogodogo kama haya hata bado haujui.

Na unapataje PTSD kwa changamoto ya kazi yako, kitu ambacho ni unajua kabisa in one way or another litatokea tu.

Sasa kama unapata PTSD kirahisi hivi, si confidence yote ya kuhudumia watanzania itaisha?
Mama mjamzito akakufia sekeseke lake sio poa unaweza upite lakini chamoto utakiona
 
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?

Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Pole sana Mkuu 🥹
Mambo ya uzazi , na matibabu kwa ujumla ni ya risk sana.
Ajali kazini.,kila kitu kitakuwa sawa.
Mungu aonaye sirini anajua nia yako,,na dhamiri yako kwamba ilikuwa njema.
Basi tu ni vile mambo hayajaenda kama ilivyotegemewa.

Nakuombea Amani ya Mungu ikuhifadhi.
 
Mbona huulizi je ni setting sahihi huyo mteja alikwenda?
Sasa hapo kama ishu ni setting ilibidi atoe referral.

Ni sawa unaona kabisa huyu mgonjwa anatakiwa afanyiwe BT , ila hapo kwenu hamna hiyo huduma na bado una mng'ang'ania huyo mgonjwa.

Sasa je akikufia kosa hapo ni la nani?
 
Mlifunga na stoo tena ? Kuna mtu anaenda kuliwa kichwa
Na anajibu kabisa kwa kujiamini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unaendaje vitani bila silaha?

Usikute hata huyo mtoto alipata birth asphyxia hivyo alishindwa kum resuscitate ndipo akapelekea kifo chake.

Kwa kifupi ni uzembe.

Na hawezi kunishawishi hospitali nzima alikuwa yeye peke yake , bila nesi, bila lab technician,MA , angalau wangekuja kum assist.
 
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?

Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Pole mkuu
 
Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?

Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
 
Mpaka hapa umedhirisha upumbavu wako.

Kuna vitu muhimu vya lazima vya kuandaa wakati unajiandaa kumzalisha mama mjamzito

Huwezi kujiandaa kuzalisha hali ya kuwa huna, IV giving set, urine bag,, NS/RL ,Canula,Catheter ,Oxytocin, Tranexamic acid, PENGUIN NK.
Oya mzee we ni MD,Co, or Gynecologist mbona uko makini sana
 
Back
Top Bottom