Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Wakuu maternal death ( kifo cha mama mjamzito) kinaweza kupoteza kazi au kufungiwa leseni?

Mjamzito akipata abraptio placenta au pre-eclampsia na historia yake haionyeshi kuwa alikuwa na changamoto yoyote ya uzazi, mtamlaumu mhudumu wa afya bure.

Watu hawahudhurii cliniki inavyotakiwa, hawapati huduma muhimu, huenda kuna dawa wanatumia zinafanya clotting iwe tatizo na hakuna historia yoyote. Scenario za nanna hiyo utamlaumu mhudumu bure tu.
Hizo pre eclampsia na abruptio placenta umezitolea wapi?

Huyu jamaa ameeleza mama alijifungua salama ila damu ziliendelea kutoka zilizopelekea mpaka kufariki na mtoto naye alifariki.

Bila shaka mama alipata tear na jamaa alishindwa ku repair hiyo tear au tissue hazikutoka zote ndizo zilizopelekea kuendelea kutoa damu mpaka akafa.

Na kuna possibility mtoto alipata low score na alihitaji kufanyiwa resuscitation jamaa akazembea hivyo mtoto naye akafa.
 
Nimeandika tu generally sio kila changamoto ni ya kumtupia lawama mhudumu wa afya, nikatoa na hiyo mifano, nikasema pia lawama ziende kwa wajawazito wasioenda kiliniki kwa wakati, wasiofuata maelekezo ya watu wa afya.
 
Kawaida, episiotomy ilihusika
Pia mkunga alinichoma sindano ya paja akaniambia ni ya kukata damu.
Alikuchoma Oxytocin kwa ajili ya kufanya contraction of uterus kuzuia usipate post partum hemorrhage.

Uterus ikishindwa ku contract ungepata PPH na wangeshindwa kuimanage ungefariki kutokana na severe bleeding, shock hatimaye ingekuwa kwa heri ya kuonana.
 
Labor haina uzoefu, nimepiga fastafasta mwaka jana nimeshusha na mwaka huu nashusha
Kipindi unajifungua mtoto wa kwanza haukuelezwa umuhimu wa spacing kwa mimba inayofuata?

Hapo angalau angalau ingekuwa mwaka na nusu au miaka miwili ndipo ubebe ujauzito mwingine ili mwili upate full recovery , kinyume na hapo unaweka mazingira hatarishi ya wewe kujifungua mtoto anayefuata akiwa na uzito pungufu (Low birth weight) , pre term baby , au wewe kuwa na upungufu wa damu kwa sababu nutrient stores hazijawa full recovered hivyo ni rahisi pia kupata anemia in pregnancy.
 
Maternal death huwa siyo kosa la mtu mmoja, huwa ni la team nzima.

Ikitokea maternal death, mnakalishwa meeting na wizara team nzima iliyomhudumia huyo mama.

Sasa huyu anasemaje ni yeye alone anahusika?

Ndo maana nasema huenda hayuko competent, ama huenda kuna taarifa tunazimiss.
Mpaka watu wa RCH nao muda mwingine wanaunganishwa.
 
Pesa haziendi kwa Mchungaji,
Pesa zinaenda kwa Mungu.

Mimi binafsi huwa narudisha Shukurani kote,,Nikianzia na Daktari kwanza,,na Mungu aliyemtumia Daktari kuniponya lazima nitoe Shukurani,,na siyo lazima nitoe Kanisani.
Madaktari waliowahi kurescue maisha yangu sasahivi ni zaidi ya ndugu kwangu, na wanajua namna nawapenda, na namna nawapa Shukurani kila tunapoonana.
Pesa haziendi kwa mchungaji, zinaenda kwa Mungu au sio ? , Okay Okay 😂😂😂😂😂😂
 
Kipindi unajifungua mtoto wa kwanza haukuelezwa umuhimu wa spacing kwa mimba inayofuata?

Hapo angalau angalau ingekuwa mwaka na nusu au miaka miwili ndipo ubebe ujauzito mwingine ili mwili upate full recovery , kinyume na hapo unaweka mazingira hatarishi ya wewe kujifungua mtoto anayefuata akiwa na uzito pungufu (Low birth weight) , pre term baby , au wewe kuwa na upungufu wa damu kwa sababu nutrient stores hazijawa full recovered hivyo ni rahisi pia kupata anemia in pregnancy.
Pre term nishavuka
Anemia nishavuka
Labda tusubiri uzito mdogo kwa mtoto japo ultrasound haijaonyesha hivyo.
 
Wengine hawaendi kabisa mpaka siku ya kujifungua na ni mjini hapa hapa , hospitali tele. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu,yaani ambavyo jamii haichukulii serious afya ya mama na mtoto,unaweza kusema serikali ipitishe sheria watu wachapwe viboko, yaani afya ya mama na afya ya mtoto wake lakini inabidi mvutaneeeeee.
 
Mkuu,yaani ambavyo jamii haichukulii serious afya ya mama na mtoto,unaweza kusema serikali ipitishe sheria watu wachapwe viboko, yaani afya ya mama na afya ya mtoto wake lakini inabidi mvutaneeeeee.
Mimi nikikutana na baadhi ya changamoto anazopitia mtoto huwa naenda directly kwamba aliyesababisha haya 90% ni mama.

Mfano mtoto mwenye kichwa maji ,au mtoto kazaliwa na mgongo wazi asilimia kubwa unajua kabisa mama alikaidi kutumia Haematenics drug kipindi cha ujauzito
 
Back
Top Bottom