SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
4 Ts..
Kadi yake ya Clinic ndo pa kuanzia..
Kadi yake ya Clinic ndo pa kuanzia..
Na ukikataa kumpokea huyo mama halafu akafa,bado msala unakuhusu vilevile.Ikitokea msala halafu ukajibu hivi, una asilimia ndogo sana za kubaki kazini
Muhimu: hata fia mikononi mwakoNa ukikataa kumpokea huyo mama halafu akafa,bado msala unakuhusu vilevile.
Nimehamia hapa sina muda mwingi ila ina ufala tena ina upumbavu ambao mimi nimeshindwa kuuvumilia we acha TuHiyo hospitali yenu ina ufala sana
Huu ndiyo ufala sasaMuhimu: hata fia mikononi mwako
Au hakikisha kuna baraka za MD kwenye kila hatua
Na hii ni kugusa tu PPH ina ufala mwingi sanaHujui PPH ina causes ngapi na PPH ni emergency na ukishindwa ku manage vizuri maternal death ni kugusa tu
🙏🙏🙏Nikupe pole lakini unaweza kuona au kuwaza kwamba pengine ungefanya hili au lile ungeweza kuokoa maisha ya mama na mwanae, lakini haikuwa ivyo.
Mimi na wewe tupo hapa leo lakini ikifika wakati wakuondoka hata tukipatiwa msaada na wale wataalamu tunaowaona nia wataalamu hawataweza fanya jambo lolote. Kila kitu kina muda wake na muda ukifika umefika umefika
Kupitia tukio hilo ulimwengu una namna ambayo umekufundisha jambo binafsi katika maisha yako. Endelea kuomba ulimwengu ukufunulie hilo fumbo ambalo umeliona wewe kupitia mwenzako.
Nimepoteza mke kwa hali kama hii hivi kwanini huwa mnashindwa kutoa rufaa mapema au hata kuondoa mfuko wa uzazi ili damu isiendelee kuvuja.Wakuu mama mjamzito amefariki wakati namzalisha baada ya kumwaga damu nyingi hali iliyopelekea kufariki hii tukio linastress sana na kunipa posttraumatic syndrome nalijitahidi kadri ya uwezo wangu kiukweli nilipaniki sana je maternal death ( kifo cha mjamzito) inaweza kufungiwa leseni yangu na kufukuzwa kaZi?
Halmashauri( CHMT) wasimamizi wa afya ngazi ya halmashauri wameniambia nisimuhumudumie mgonjwa, mjamzito au mteja yoyote yule)
Unahisi tunafanya makusudi? Siku ikifika imefika tuNimepoteza mke kwa hali kama hii hivi kwanini huwa mnashindwa kutoa rufaa mapema au hata kuondoa mfuko wa uzazi ili damu isiendelee kuvuja.
Bora upate taarifa ya mkeo kuondolewa mfuko wa kizazi kuliko mke kupoteza maisha.😭😭😭
Duuh basi sawa.... sema kifo kinauma jamani mpaka jamii inahisi nimeshapata ugonjwa wa akili.Unahisi tunafanya makusudi? Siku ikifika imefika tu
Akafie mfano koridoni hapo hospital baada ya wewe kukataa kumpokea,kuna usalama? Vipi ndugu wataelewa?Muhimu: hata fia mikononi mwako
Au hakikisha kuna baraka za MD kwenye kila hatua
Kisema umeuvumilia inamaana umekubaliana na mambo yaoNimehamia hapa sina muda mwingi ila ina ufala tena ina upumbavu ambao mimi nimeshindwa kuuvumilia we acha Tu
Hizi changamoto zipo Vijijini sana na hivi vitoto vya 2000, vina pigwa mimba baba hajulikani vinaamua kukaa ndani 🚮🚮🚮Vipi ndugu wataelewa?
Ufala..!!? Haya maamuzi yako ya huruma yanataka kukugharimuHuu ndiyo ufala sasa
Miiko ni ipi? Nitajie hapaUfala..!!? Haya maamuzi yako ya huruma yanataka kukugharimu
Unajua miiko ya RN..?😳😳
Sawa ulijua PPH ina/ ingeleta sintofahamu what was plan B..?Na hii ni kugusa tu PPH ina ufala mwingi sana
Ndiyo maana napigwa vita we unajua hata hii ishu nimeachiwa msala peke yangu wakati hii ishu ni ya kituo kizima?Kisema umeuvumilia inamaana umekubaliana na mambo yao
Umesoma thread yangu vizuri? Kasome tena basiiiSawa ulijua PPH ina/ ingeleta sintofahamu what was plan B..?
Ahhh jamaa unataka turudishane darasani ..?Miiko ni ipi? Nitajie hapa
Wewe jamaa nakuombea lolote baya likukute.Nimehamia hapa sina muda mwingi ila ina ufala tena ina upumbavu ambao mimi nimeshindwa kuuvumilia we acha Tu