Wakuu mbona watu wananitenga hivi toka nipate pesa

Wakuu mbona watu wananitenga hivi toka nipate pesa

🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia mbwata
Laki Nane......😂
 
𝚖𝚣𝚎𝚎 𝚕𝚊𝚔𝚒 8 𝚊𝚞 𝚖𝚒𝚕 8🤣
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia mbwat
 
Back
Top Bottom