Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

Is this real or continent?

KAMA NI REAL POLE SAN.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ni kweli mkuu wameifuta na trh 7 mwezi huu nilikuwa nimelipia 187k, ajili ya ads kwa mwezi mzima,, so na pesa imepotea
Huwa Meta wanatumia AI ku moderate, mara kibao wa nakosea na kuban watu.

Kama una uhakika hujakosea wasiliana nao kupitia Facebook, wasiliana nao to the point wakupe mtu uchat nae, atakufungulia.
 
Umefanya kosa gani? Watafute ukiwaelekeza watafungua

Huwa Meta wanatumia AI ku moderate, mara kibao wa nakosea na kuban watu.

Kama una uhakika hujakosea wasiliana nao kupitia Facebook, wasiliana nao to the point wakupe mtu uchat nae, atakufungulia.
Mkuu Mimi nilikuwa nalipia matangazo yao napenda nao sawa kwa kipindi kirefu, sasa Leo nikasema ngoja ni verify kabisa account nipate blue tick, nimelipia vzuri tu nikaombwa iD card nika upload ss wkt nasubiri majibu ndio wakaja na ban hii
 
Huwa Meta wanatumia AI ku moderate, mara kibao wa nakosea na kuban watu.

Kama una uhakika hujakosea wasiliana nao kupitia Facebook, wasiliana nao to the point wakupe mtu uchat nae, atakufungulia.
Mkuu msaada wako tafadhali
 
Mkuu msaada wako tafadhali
Wasiliana nao mkuu, ila hii ni kampuni ya kishamba sana linapokuja suala la support, pengine ika chukua wiki hadi miezi kumpata tu huyo wa kuchat nae ambaye ni Binadamu.

Pitia hapa

View: https://www.reddit.com/r/facebookdisabledme/comments/1dz0obr/meta_verified_support_chat/
Utaona namna ya kuforce ili upate livesuport then ukipata binadamu wa kuchat nae ndio muelezee tatizo, kama huja post picha za Ajabu ama kutukana watu watakufungulia.
 
sina huruka hiyo mkuu sijamtusi mtu wala account yangu sikuwa na group hata moja kwa miaka yote nimeitumia
 
Kwakuu hii ni ban ya muda au wamefuta kabisa... Dah hapa kichwa kinawaka hela yangu imeenda hivi hviView attachment 3234562
Pole sana, baada ya masaa 24 akaunti yako watai recovery. Walikuomba namba ya simu na umewatumia reason ya ku verify??

Umeenda against whatsap policy, may be ulikuwa unajaribu ku add members wengi kwenye whatsap group at once.
 
Nenda fb search page inaitwa labtech watakupa muongozo

Au kama upon dar nenda manzese baharesa ulizia fundi mfupi hiyo kwake ni kazi ya dakika mbili account inarudi vzr sana
Mkuu asante sana πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…