Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

Pole sana, baada ya masaa 24 akaunti yako watai recovery. Walikuomba namba ya simu na umewatumia reason ya ku verify??

Umeenda against whatsap policy, may be ulikuwa unajaribu ku add members wengi kwenye whatsap group at once.
Sina group hata Moja mkuu nadhani shida inaanzia bidhaa ambazo nazitangaza zimeorodheshwa kwenye sera yao kwamba haziruhusiwi. Huwezi amini kule hata kuweka tangazo la tangazo la kazi ni kosa kwa sera zao. Ss nasiktika Wana futa account bila kunipa onyo.
 
Nenda fb search page inaitwa labtech watakupa muongozo

Au kama upon dar nenda manzese baharesa ulizia fundi mfupi hiyo kwake ni kazi ya dakika mbili account inarudi vzr sana
Mkuu huyo labtech nimemsach sijampata . Nisaidie kushare hapa hata profile pic yake nikamtafute tena
 
Vu
Mkuu Mbona kama hapo naambiwa imefutwa niingie kwa namba nyingine mpya?
Vumilia mkuu kesho account yako itakuwa recovered, akaunti yako haiwezi kufungwa kirahisi ivo.

Ila kilichofanyika hapo ni Artificial Inteligence ya Whatsap ime ban akaunti yako kwasabab umeenda against policy zao.

Kazi ya AI hiyo, baada ya masaa 24 itakuwa auto recovered mark my word.

Watakuomba u verify kwa kuweka namba ya simu then synchronization itafanyika.
 
Mkuu Mbona kama hapo naambiwa imefutwa niingie kwa namba nyingine mpya?
Hata uingize namba 100 haita kubali.

Mim nilihangaika sana mwaka juzi majibu niliyapata kwa tech land page ipo Facebook
 
Vu

Vumilia mkuu kesho account yako itakuwa recovered, akaunti yako haiwezi kufungwa kirahisi ivo.

Ila kilichofanyika hapo ni Artificial Inteligence ya Whatsap ime ban akaunti yako kwasabab umeenda against policy zao.

Kazi ya AI hiyo, baada ya masaa 24 itakuwa auto recovered mark my word.

Watakuomba u verify kwa kuweka namba ya simu then synchronization itafanyika.
Ubarikiwe mkuu! Asante sana kwa kunitia moyo 🙏🙏. Kichwa kinavuruga sana yan dakika chache nimawatumia pesa ya ku verify account wakaniomba ni atachi ID card nikafanya hivyo. Sss kwenye kusubili review ndio wakaja na suspetion
 
Back
Top Bottom