Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

Wakuu META wamepita na account yangu ya WhatsApp Business

Screenshot_20250212-215405_1.jpg
 
Nawish bongo tungekua tunatumia ziaidi telegram kuliko hii whatsapp, huo mtandao jau sana aisee.

Halafu ni full marobot tu kila sehemu ni AI hamna wahudumu.
Hizi AI zimekuja kuharibu mambo, imagine hapa nahangaika mara nitumie maombi then unajibiwa na kitu hakina hisia
 
Hizi AI zimekuja kuharibu mambo, imagine hapa nahangaika mara nitumie maombi then unajibiwa na kitu hakina hisia
Na hakielewi aisee, yaani inabidi uandike kiroboti roboti au utumie kiswahili cha google translator ili lenyewe likipeleka kwa kiingereza lielewe.
 
Back
Top Bottom