Sawa sawa.Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Sawa dada nashukuru. hapa tupo kwa ajili ya utani dada angu samahani kama kile nilicho kisema kime kuasili kisaikolojia nisamehe sana ni utani tu dada anguπππSasa hizo ndo kazi za maana kufanywa na mtoto wa kiume, lisha makitimoto, piga kitimoto nyundo ya kichwa karuka chinja, nyoa kata nyama kauze.
Lisha kuku beba gunia la chakula, chinja kuku peleka oda.
Sio kupita jukwaani mkono kiunoni ka kipensi kifupi.
Acha kutia tia huruma kijana kaza.Sawa dada nashukuru. hapa tupo kwa ajili ya utani dada angu samahani kama kile nilicho kisema kime kuasili kisaikolojia nisamehe sana ni utani tu dada anguπππ
Asante na karibuu
Mmh mbona umeandika kiume, we ni ke kweli?Acha kutia tia huruma kijana kaza.
Hahaahaaaa sijaona alie ni popoa ila sema hawana elimu yamitindo ni kitendo cha kuelimishwa tu unaweza kuwa na elimu kubwa ya afya, mwalimu, au chochote lakini nguo ikichanika unapeleka kwa fundi cherehani sababu hiyo nitaaluma nyingine mkuu, kupopoa wanafanya wasio na uelewa huko Facebook na ig Tena ni baadhi ya watu mkuuHuku kama huna ngozi ya chui utatoka vidonda vya tumbo huku sio instagram naona wadau wameanza kukupopoa mapema tu πππ
Mi sio mwanamke nitake radhiMmh mbona umeandika kiume, we ni ke kweli?
Asante na karibuu
Usikimbie Matusi ya humu. Maana kuna wenzio wanajificha modeling wanaishiakutatulia marinda π kama NoeliHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
πππππ mwandamizi wa nini wee Eve?Unamsimulia mwandamizi au sio πππ
Ni kweli kabisa Wala huja kosea, lakini tambua kuwa Kuna watu kama askali wa Zanzibar na yule mwalimu aliekuwa analiwa na mwanafunzi wake nao walikuwa wanajificha kwenye kazi zao hizo kumbe, hivo kutatuliwa marinda ni sehemu yoyote Ile mkuu, chakufanya ni kumuomba mungu atuepusheUsikimbie Matusi ya humu. Maana kuna wenzio wanajificha modeling wanaishiakutatulia marinda π kama Noeli
Watu wana stress za hatari ndo maana tasnia ya uchekeshaji ina wateja wengi.... imagine mtu ana mkopo wa kausha damu halafu ni mfuasi wa Mbowe hali yake ikoje?Uchekeshaji unalipa eeh?
Vijana wengi wamejikita huko.
Dah inashangaza sana sa mbona unaweka I'd ya kike ilihali we ni mwanaume si watakutongoza vijana wa humu mfano wakikuroga uwapende bila kujua we ni mwanaume na dawa ika kuingilia vizuri huoni unaeza gawa ubingwa kimasihara?Mi sio mwanamke nitake radhi
Eti mchekeshaji!Huyu anatafuta basha π€£
Asante mkuu ikawe kheri kwetu soteeKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.