prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
-
- #21
Jasiri mpenda mafanikio haogopi changamoto insta ni kugumu kuliko humu kule population ni kubwa pressure pia ni kubwa kaka, kuvunjwa moyo ni kwa wageni wa maisha si Mimi mzoefu wa kupamnanaRudi Instagram huku utavunjwa moyo Sana Kwa kazi yako, huku sio
Ajira kaka tukisubiri kuajiliwa na serikali si tutafia kweny umaskini hivo tunajigawa wengne huku wengne kuleUchekeshaji unalipa eeh?
Vijana wengi wamejikita huko.
Karibu sanaHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Usiwaze mkuu stay tuneeeedChekesha tuone kazi zako
Asante mkuuKaribu sana
Uanamitindo haukufai .Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Embu karibusha wageni vizuri basiKwa wanaume modeling na 🌈 ni kama chips na tomato.
Karibu jf
Kaka hujaona kazi zangu usha nikata mkuu stay tuned mkuu huto jutaaaKazi yako ya modelling ndo inachekesha wewe huchekeshi
Nashukuru kaka ni mawazo yako tu stay tuneeedUanamitindo haukufai .
Haujakaa kiuanamitindo ,mwili haukuruhusu .
Hata nguo ulizovaa ni midosho.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bila shaka kwenye hiyo Modeling unayoifanya ndio kichekesho chenyewe.
Mbona wamponda mgeniUanamitindo haukufai .
Haujakaa kiuanamitindo ,mwili haukuruhusu .
Hata nguo ulizovaa ni midosho.
Kanisikitisha sana hiyo ni ajira asishangae kesho mwanae akajoin the chainEmbu karibusha wageni vizuri basi
Emotional damageKazi yako ya modelling ndo inachekesha wewe huchekeshi
Kule sasa ndio utatoboa kirahisi, huku pamoto mno watu wajuaji sanaaJasiri mpenda mafanikio haogopi changamoto insta ni kugumu kuliko humu kule population ni kubwa pressure pia ni kubwa kaka, kuvunjwa moyo ni kwa wageni wa maisha si Mimi mzoefu wa kupamnana
Atakupa dili la kuchekesha kwenye mikesha ya mwenge.Hahahhha mi na siasa mafuta na maji