prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
-
- #41
Aaahhaa ok mi kuja huku sina maama nataka kutoboa huku ila nikujipanua tu fb na ig ndo nako wekeza nguvu zangu haswaKule sasa ndio utatoboa kirahisi, huku pamoto mno watu wajuaji sanaa
Hahahaaaa sawa mkuu umetisha sanaAtakupa dili la kuchekesha kwenye mikesha ya mwenge.
Simamia unachokiamini kiongozi usimuwaze mtuKaka yote kheri mkuu tuombe uzima ila kinacho nisikitisha ni Imani ya waja juu ya modeling na ushoga, si kweli kila model ni shoga hiyo ni kazi kama kazi zingine
Mgeni hataki soda anataka mia sita yakeEmbu karibusha wageni vizuri basi
Karibu JFHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Mwanangu hawezi kufanya hiyo kitu mbele yangu nikiwa hai.....Kanisikitisha sana hiyo ni ajira asishangae kesho mwanae akajoin the chain
Duh hii ndio JFUjinga tu. Unaleta upuuzi kwenye JF ina watu wenye akili. Huchekeshi, hufai kwa modelling ni kilaza tu.
Hapana dada angu jukumu langu nikubadilisha fijra zenu zamani watu waliamini mziki ni uhuni ila Leo ni ajira. Ukiona mziki umefika hapo basi jua Kuna watu nyuma walipambana fijra kinzani hadi Leo hii wewe unasikiliza ukiwa na familia yako.Mwanangu hawezi kufanya hiyo kitu mbele yangu nikiwa hai.....
Wengi wanaofanya hizo sijui inakuaje wanajihusisha na ushoga, kuna dogo mmoja shuleni alikua anafanya hizo mambo alikua kijana tu fresh siku za graduation ndo anaandalia wenzie mavazi ya fashion show....mmh kamaliza tu shule nmekutana nae mtaani wala hauulizi "Aviola huyu hapa"
We mwenyewe hapo kwenye picha mwanaume umetinda nyusi.
Hapa bongo kina martin kadinda, yule sijui nani wa wasafi aaagrrr hii kazi ni kazi ila hapana
Mungu akubariki muelevu ila usimtukane mamba huja vuka mto kaka,ungekua unajielewa unge toa hoja zako nizijibu sio kutukana huenda huna elimu na mitindo kama ungekua na elimu unge toa hoja ila umetukana, nimeingia kipindi kugumu kipindi ambacho mastaa wa fashion ni wakina noel na anko t ni ngumu jamii kukuelewa mtaka cha uvunguni sharti uiname sina budi.Ujinga tu. Unaleta upuuzi kwenye JF ina watu wenye akili. Huchekeshi, hufai kwa modelling ni kilaza tu.
Asante sana kaka unaonekana una busara sana wengi wanatukana eti ushoga fashion ina mambo mengi. Marais wetu wa nchi kipindi hicho sijui sasa, walikuwa Wana fanyiwa design na ngowi je hawakufikiria ushoga? Au ni elimu ya mitindo Wana jf hawana?Karibu JF
Tuchekeshe tukuamini basiii..Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Sawa kila laheriHapana dada angu jukumu langu nikubadilisha fijra zenu zamani watu waliamini mziki ni uhuni ila Leo ni ajira. Ukiona mziki umefika hapo basi jua Kuna watu nyuma walipambana fijra kinzani hadi Leo hii wewe unasikiliza ukiwa na familia yako.
Asante na karibuuu
Usijali ila name shitushwa na uelewa wa mambo humu kwa watu intelligence kama nilivo aminishwa, maraisi wa nchi Wana watu wa fashion kupangilia mavazi yao, intelligence wa humu wanadai ni ushoga kazi kweli kweli nilitegemea hayo wazungumze wasio na elimu ila humu nmepata mashaka sana na watu walio humu,Nasubiri utuchekeshe
Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
Sawa dada angu flaviana matata alikutana na trump na kusema name machache unazani flavi alienfa kwa trump kama nani, ni Marais wangapi wanaitaka hio fursa?Sawa kila laheri