Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Inawezekana hata wanaokutania ni ndugu zako mkuu 😅.

Kiufupi wewe umekubali kujaa kwenye mfumo wao bwashee 😅
 
Ila hapa umeongea ukweli, uko sahihi sana.
 
"Una familia"

Umemaanisha una mke na mtoto/watoto?

Au familia ndugu wa kuzaliwa nao?
 
Inawezekana hata wanaokutania ni ndugu zako mkuu 😅.

Kiufupi wewe umekubali kujaa kwenye mfumo wao bwashee 😅
Ni kweli mkuu ndugu yako akushikie bastola akupige kwa bahati nzuri ikukose ufaiti uishike wewe uta mrudishia akumalizie kisa ni ndugu yako mkuu

Asante na karibuu
 
Waelimishe tyuuu mkuu, ndivyo walivyo, wazoeee.
 
Mmh uko kutoboa lazma uliwe jicho me nikiona umekua model mkubwa lazma nijue ushaliwa unless uje JF tukukague.
Kila la kheri comedian na model ila usije ukatoa ubingwa tafadhali bado tunakuhitaji.. Usisahau kuingia kataa ndoa.. Pia muone huyu jamaa Erythrocyte akupe kadi ya NRNE au mchek Lucas Mwashambwa akupe kadi ya fisiemu
 
Ni kweli mkuu ndugu yako akushikie bastola akupige kwa bahati nzuri ikukose ufaiti uishike wewe uta mrudishia akumalizie kisa ni ndugu yako mkuu

Asante na karibuu
Hii ni mbaya sana bwashee 🥲 ungeweka ka video hata ka moja ka kuchekesha master 🤔
 
Hapa bado haujakutana na watakao kutaka uthibitishe uwepo wa Mungu bwashee 😅

Hii ndio jf mkuu vumilia tu
Hao ni wazuri na Nina wataka sababu hawaja nivua nguo kwenye hadhira ya watu, neno shoga kwa Mila za kiafrika ni Bora unipige ngumi ya jicho si mtu kuniita shoga, wajipange hasa jamii forum sitoki labda nitolewe ila kunishika makalio kwa kigezo cha niwe mvumilivu natoa onyo Sito weza tell them moto haulambwi. Min me, neno shoga si lakumtania mtu

Asante na karibu
 
Kweli ni mbaya sana bwashee,ila potezea tu muhimu wewe unajijua sio shoga
 
Hii ni mbaya sana bwashee 🥲 ungeweka ka video hata ka moja ka kuchekesha master 🤔
Huu Uzi ni wakujitambulisha kuweka ka video Kuna utaratibu wake kazi zangu nazifanya ki profeshino mkuu. Niki sema niweke video ovyo tashusha bland takuwa naridhisha watu na si kazi kaka. Tatoa utaratibu wa kazi zangu soon stay tuned kaka

Asante na karibuuu
 
Sawa sawa master
 
Kweli ni mbaya sana bwashee,ila potezea tu muhimu wewe unajijua sio shoga
Nikiwa star mkubwaa tapewa ubalozi wa makampuni makubwa na madogo, neno shoga linaweza nikosesha ulaji nikanyimwa ubalozi, nikisema nipotezee itani haribia keria yangu na watao taka wekeza kwa jina langu na taswira yangu

Ndio ndio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…