Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Pamoja sanaAsante kaka hujapanic kweli wewe ni mtu poa Sanaa ubarikiwe Sanaa
Asante na karibuu
Unamsimulia mwandamizi au sio 😂😂😂Cocastic nimekuja kujitambulisha kwa Nia njema nashangaa naitwa shoga, dah nikaambiwa hiyo kazi ni ya mashoga, nikajiongeza na ongea na watu wasio na elimu ya fashion kila elimu ina kitengo chake hao hawana pia hawataki kueleweshwa. Marais wa nchi Wana wabunifu wao wamavazi je nao husapoti ushoga? Nikajiongeza tu hao wanaitaji kuelimishwa
Asante na karibu
Kama wanavyomnyoosha lucasHuku kama huna ngozi ya chui utatoka vidonda vya tumbo huku sio instagram naona wadau wameanza kukunyoosha mapema tu 😁😁😁
😄😄😄Kama wanavyomnyoosha lucas
Nasikia wewe mtaa unao ishi una PhD ya u kihelehele, ukiwa ndani hata pikipiki ikipita ikapiga honi tu unachungulia nje🤣🤣🤣🤣Ebu tuchekeshe kwanza
Ww unaweza nnMpaka dk hii sijaona ulichoandika cha kuchekesha wewe deal na modeling utatoboa kuchekesha huwezi
Ila ni mgumu hakati tamaa
Nashukuru kaka siwezi kukuchekesha kichwa chako kimejaa madeni na mawazo lipa kwanza madeni ndo utachekaMpaka dk hii sijaona ulichoandika cha kuchekesha wewe deal na modeling utatoboa kuchekesha huwezi
Naweza kufundisha KiswahiliWw unaweza nn
CoolNaweza kufundisha Kiswahili
Umetisha sana kakaHii Bongo ukimwambia mtu mimi ni mchekeshaji , Utaulizwa tuchekeshe sasa
Ila ukimwambia mimi ni Killer
Hawezi kuuliza , niue sasa?
Hapana dada angu huyu kanijibu kiutu uzima sana ila wewe unasema una watoto lakini bado hujui kulea watoto wa wengine samahani kama nime kukosea dada anguUnamsimulia mwandamizi au sio 😂😂😂
Modo unadeka sana kwahiyo kuambiwa ukweli ndo kutokujua malezi.Hapana dada angu huyu kanijibu kiutu uzima sana ila wewe unasema una watoto lakini bado hujui kulea watoto wa wengine samahani kama nime kukosea dada angu
Asante na karibuu
Huwezi kulea ukiona watoto wako Wana hekima basi jua ni juhudi za mfanyakazi kaokoa jahazi we unafaa ufugaji kuku na nguruwe dada angu samahani usipaniki lakini ni utani tu ukipaniki basi yaliyomo yamoModo unadeka sana kwahiyo kuambiwa ukweli ndo kutokujua malezi.
Mtoto kautaka.....
Sasa hizo ndo kazi za maana kufanywa na mtoto wa kiume, lisha makitimoto, piga kitimoto nyundo ya kichwa karuka chinja, nyoa kata nyama kauze.Huwezi kulea ukiona watoto wako Wana hekima basi jua ni juhudi za mfanyakazi kaokoa jahazi we unafaa ufugaji kuku na nguruwe dada angu samahani usipaniki lakini ni utani tu ukipaniki basi yaliyomo yamo
Asante na karibuu
Sijui kuchekesha najua kuvunja mbavu, natoa tahadhari kwa atakae kengeuka kucheka kupitia kiasi. Sito husika na uvunjikaji wa mbavu zozote🤣🤣🤣🤣Ebu tuchekeshe kwanza